Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Hatamimi leo nimeota kitu kama hichoUsiku wa kuamkia leo nimeota nimeugua Corona acha watu wawe wananikimbia nikakumbuka ile video ilivuma sana ya "Ebolaaaa, ebolaaaa" [emoji23][emoji23]
Jana usiku kichwa kimeniuma sana mwili unachemka koo linawasha na mafua ya hapa na pale chafya za kufa mtu asee nilikosa amani kinyama nikawa nawaza Corona hii tayari,nikajidunga bapa kadhaa leo mwepesiiii hakuna cha mafua wala upuuzi gani😂😂😂Usiku wa kuamkia leo nimeota nimeugua Corona acha watu wawe wananikimbia nikakumbuka ile video ilivuma sana ya "Ebolaaaa, ebolaaaa" 😂😂
Hongera kwa kuwa na medical assistant sisi tuna auxiliary nurseCharity start at home!! Huku Lingusenguse hakuna Doctor hata mmoja tuna Med.Asst.tu ,please njooni kwanza huku,kueni kwenye border post hasa za aple namanga,tunduma, na nilitegemea watanzania hasa walioko kwenye lile jimbo la Wuhan watarudishwa nyumbani na kuwekwa chini ya uangalizi maalum for 21days kabla ya ku apply mind ya kuwaachia, na sijasikia kama tumeshaandaa isolations centres ndani ya nchi yetu kwa ajili ya kukabiliana na swala hii, kwangu mimi hii habari iliyochukua nafasi ya kwanza kwenye gazeti hili pendwa (!!!!) ni siasa zaidi kuliko reality.
poleni mno ,halafu nchi inatangaza kupeleka Doctors China!!!,nchi yetu hata maandalizi ya kujilinda na ugonjwa huu ni siasa tupu,wapi wameandaa holding places kwa wagonjwa au wenye dalili hizo ?Hongera kwa kuwa na medical assistant sisi tuna auxiliary nurse
Kutoa ni moyopoleni mno ,halafu nchi inatangaza kupeleka Doctors China!!!,nchi yetu hata maandalizi ya kujilinda na ugonjwa huu ni siasa tupu,wapi wameandaa holding places kwa wagonjwa au wenye dalili hizo ?
Pia wataalamu kupata vifaa vya kuwakinga wao na wagonjwa wao mlipuko ukitokeapoleni mno ,halafu nchi inatangaza kupeleka Doctors China!!!,nchi yetu hata maandalizi ya kujilinda na ugonjwa huu ni siasa tupu,wapi wameandaa holding places kwa wagonjwa au wenye dalili hizo ?
Mkuu tulisha wapeleka?
Huu ndio urafiki wa kweli tangu enzi za mao tse tung na mwl nyerere..Pia wataalamu kupata vifaa vya kuwakinga wao na wagonjwa wao mlipuko ukitokea
una uhakika!?Nchi kama Cuba zenye madaktari nguli kote duniani wamenyamaza kimya.
Hata mimi huwa naskia hivyouna uhakika!?
soma habari hiiHata mimi huwa naskia hivyo
Asante