Mabibi na mabwana kumekuwa na habari nyingi kuhusiana na tiba na au chanjo za ugonjwa huu.
Kujiridhisha nimelazimika kujivinjari kiselule selule pale katika shule ya tiba, Muhimbili. Yafuatayo ni niliyokusanya na kwa kweri tunaongopeana sana:
1. Antigen - hiki ni kitu kigeni katika mwili kipelekeacho maradhi. Corona virus ni mfano mmoja.
2. Antidote - hii ni dawa au material yoyote isiyokuwa na madhara kwa mwili inayomdhibiti antigen. Kwa maana nyingine hii ni dawa kamili ya tiba dhidi ya antigen mhusika.
Mfano wa hii ni "Bupeji" na "Covido" kama zilivyotambulishwa na Mh. Rais.
3. Antibody - hii ni body material zinazotengenezwa na mwili katika jitihada zake naturally za kupambana na antigen.
Ukweli mchungu:
A. Kutengeneza antidote yataka kumfahamu antigen vizuri mno na pasipo na shaka yoyote. Tunazoambiwa "Bupeji" na "Covido" ni dawa za kutibu kwa mujibu wa utambulisho. Ya kwamba hizo ni antidote wala si chanjo!
Kutengeneza dawa bila kumjua antigen vilivyo ni suala lisilowezekana. Aliye mtengeneza antigen anao uwezo mkubwa wa kutengeneza dawa yaani antidote kwa maana anamjua kwa vile yeye ndiye mwasisi wake.
Mchina na Mzungu wenye ubobezi kwenye kumfuatilia na labda hata kumtengeneza antigen huyu corona virus, hawajaweza kutengeneza antidote yoyote kumhusu, ila sisi? Kweli?
Tumwogopeni mola wetu jamani. Kwa hakika hatuna sababu za kuendelea kupoteza hivi nafsi hizi zinazoendelea kututoka.
B. Kwa kutomjua antigen kwa 100% au vilivyo zikiwamo tabia zake zote ni rahisi zaidi kutengeneza chanjo na si kutengeneza antidote.
Chanjo zote hutengenezwa kwa kufuatilia mwenendo wa antibodies yaani kwa jinsi miili inavyokuwa ikijaribu kujipambania yenyewe binafsi dhidi ya antigen.
Mwelekeo wa antibodies ni physical, yaani unaonekana, unasomeka na unaweza kuwa copied na kisha kuwa pasted kuzaa chanjo yaani vaccine.
C. Kutengeneza vaccine kuna pa kuanzia, yaani kwenye antibodies za wanaougua au waliougua. Ndiyo maana mchina, mzungu, mhindi na wote wanaojua maana wanaongelea chanjo na wala si tiba.
Kwamba sisi tunaongelea tiba?Tumwogopeni Mungu basi hata kama tulichochagua ni kuwa manunda tu pasipokuwa na uhalali wowote?
Wapewe nafasi wataalamu wetu wa afya watuvushe kwenye hili gonjwa. Nyie wengine endeleeni na kazi za utawala.
Wataalamu tulio nao wanao uwezo wa kutuvusha. Tusiwaingilie.
Ninawasilisha