Corona: Tunavyongopeana kwenye hili la tiba na chanjo

watalaam wepi, ambao hata dawa hawawezi kugundua,
Kwa akili yako ilipofikia ni mtaalamu gani Afrika mashariki aligundua dawa na ikapewa kibali na WHO ili uitumie?

👉🏾 Muachage ujinga wa kiafrika😬!!
 
Mimi siwezi kuwa mtumwa mkuu, nipo UK hapa wala sina mpango na hiyo chanjo yao, siitaki

Mkuu UK is just another country like any other. To be honest, you have nothing special.

Hivi jombi si unajua kuwa si kila mtu yuko katika hatari sawa? Si unajua kuwa kote duniani kundi la walioko Hatarini zaidi ndilo pekee linalopewa kipaumbele kupata hiyo chanjo?

Kulikuwa na huu uzi:

Mkuu kama wewe haumo kwenye makundi hayo na haikuhusu uwashwe washwe vipi kwa niaba ya wanaoihitaji hiyo zaidi?

Can't we just be fair to others possibly the way they are to us and possibly you?

Why all this selfishness? Because you don't need it then everyone should not need it? Ridiculous!

This can't be anything different from insanity itself!
 
Nashauri wapewe nafasi wataalamu wetu wa afya watuvushe kwenye hili gonjwa na nyie wengine endeleeni na kazi za utawala.

Tusiishie kushauri tu. Kama wanaendelea kuupuuza, tupaze sauti. Tuwashinikize hawa kuwapa nafasi wataalamu wa afya kutuvusha.

Asasi za dini, siasa, kiraia, watu binafsi nk, kama busara haisikiki tulazimike kuchukua hatua kama tutakavyo ina inafaa.

Haki yetu ya kuishi haiwezi kuwa na mbadala.

Kokote kule mliko shikamoni mababa askofu Severine Niwemugizi, askofu bagonza, TEC, maaskofu Moravian bila kuwasahau Sheikh Ponda na wote wenye kuthamini na kuweka umuhimu wa maisha yetu mbele.

Tunahitaji matamko yenu tu nasi waja wenu hatutawaangusha.
 
Mkuu UK is just another country like any other. To be honest, you have nothing special.

Hivi jombi si unajua kuwa si kila mtu yuko katika hatari sawa? Si unajua kuwa kote duniani kundi la walioko Hatarini zaidi ndilo pekee linalopewa kipaumbele kupata hiyo chanjo?

Kulikuwa na huu uzi:

Mkuu kama wewe haumo kwenye makundi hayo na haikuhusu uwashwe washwe vipi kwa niaba ya wanaoihitaji hiyo zaidi?

Can't we just be fair to others possibly the way the are to us and possibly you?

Why all this selfishness? Because you don't need it then everyone should not need it? Ridiculous!

This can't be anything different from insanity itself!
mkuu watu wenye HIV ndio wanao dai chanjo
 
Mawazo duni kabisa. Nani kakupa takwimu hizo? Huu si ndiyo unaoitwa unyanyapaa?

Hata kama wenye HIV wanadai hiyo chanjo, wao si watu? Kwanini basi mnawasemea kuwa hamuitaki hiyo chanjo? Nani kawatuma?

Ukweli uko wazi. Watu wote walio hatarini wainadai chanjo hiyo. Watu hao ni hawa hapa:

1. Wazee miaka 50+ akiwamo jiwe.
2. Wafanyakazi wote wa sekta za afya wanakokutana na waathirika muda wote.
3. Wenye magonjwa mengine yote yakiwamo kisukari, pressure, seli mundu, HIV, TB, Malaria, pumu, nk.

Grow up chap. Even HIV infected individuals are human beings!
 
Tusiishie kushauri tu. Kama wanaendelea kuupuuza, tupaze sauti. Tuwashinikize hawa kuwapa nafasi wataalamu wa afya kutuvusha.

Asasi za dini, siasa, kiraia, watu binafsi nk, kama busara haisikiki tulazimike kuchukua hatua kama tutakavyo ina inafaa.

Haki yetu ya kuishi haiwezi kuwa na mbadala.

Kokote kule mliko shikamoni mababa askofu Severine Niwemugizi, askofu bagonza, TEC, maaskofu Moravian bila kuwasahau Sheikh Ponda na wote wenye kuthamini na kuweka umuhimu wa maisha yetu mbele.

Tunahitaji matamko yenu tu nasi waja wenu hatutawaangusha.
Asante.
Wakatii huo huo unatakiwa ukumbuke kila mtu ana hofu na hali ya maisha yanayoendelea.
 
Nashauri wapewe nafasi wataalamu wetu wa afya watuvushe kwenye hili gonjwa na nyie wengine endeleeni na kazi za utawala.

Ashukuriwe mama Samia. Anachukua mwelekeo sahihi.

Kwa hakika mwendazake alituchelewesha sana.
 
Back
Top Bottom