Kwa akili yako ilipofikia ni mtaalamu gani Afrika mashariki aligundua dawa na ikapewa kibali na WHO ili uitumie?watalaam wepi, ambao hata dawa hawawezi kugundua,
Mimi siwezi kuwa mtumwa mkuu, nipo UK hapa wala sina mpango na hiyo chanjo yao, siitaki
Nashauri wapewe nafasi wataalamu wetu wa afya watuvushe kwenye hili gonjwa na nyie wengine endeleeni na kazi za utawala.
mkuu watu wenye HIV ndio wanao dai chanjoMkuu UK is just another country like any other. To be honest, you have nothing special.
Hivi jombi si unajua kuwa si kila mtu yuko katika hatari sawa? Si unajua kuwa kote duniani kundi la walioko Hatarini zaidi ndilo pekee linalopewa kipaumbele kupata hiyo chanjo?
Kulikuwa na huu uzi:
Ikumbukwe: Chanjo ya corona ina umuhimu wa pekee kwa makundi maalumu si kwa watu wote
Mabibi na mabwana katikati ya misukosuko na gonjwa hili lililotukalia vibaya mno hasa sisi wenye migogoro yoyote mingine ya kiafya, wale wenzetu na sisi wenye umri 50+, pia wale wafanyao shughuli zao kwenye mazingira yenye hatari zaidi, kwa hakika ina fikirisha sana. Ikumbukwe kuwa hata huko...www.jamiiforums.com
Mkuu kama wewe haumo kwenye makundi hayo na haikuhusu uwashwe washwe vipi kwa niaba ya wanaoihitaji hiyo zaidi?
Can't we just be fair to others possibly the way the are to us and possibly you?
Why all this selfishness? Because you don't need it then everyone should not need it? Ridiculous!
This can't be anything different from insanity itself!
Mawazo duni kabisa. Nani kakupa takwimu hizo? Huu si ndiyo unaoitwa unyanyapaa?mkuu watu wenye HIV ndio wanao dai chanjo
Asante.Tusiishie kushauri tu. Kama wanaendelea kuupuuza, tupaze sauti. Tuwashinikize hawa kuwapa nafasi wataalamu wa afya kutuvusha.
Asasi za dini, siasa, kiraia, watu binafsi nk, kama busara haisikiki tulazimike kuchukua hatua kama tutakavyo ina inafaa.
Haki yetu ya kuishi haiwezi kuwa na mbadala.
Kokote kule mliko shikamoni mababa askofu Severine Niwemugizi, askofu bagonza, TEC, maaskofu Moravian bila kuwasahau Sheikh Ponda na wote wenye kuthamini na kuweka umuhimu wa maisha yetu mbele.
Tunahitaji matamko yenu tu nasi waja wenu hatutawaangusha.
Nashauri wapewe nafasi wataalamu wetu wa afya watuvushe kwenye hili gonjwa na nyie wengine endeleeni na kazi za utawala.