#COVID19 Corona: Tuukatae upotoshaji huu tunapochukua tahadhari

Huna jibu wala ufanunuzi wowote kwenye hoja yoyote ile katika zilizopo bali utopolo mtupu uliopitiliza:

View attachment 1718643

Kwamba tukae makwetu hadi 2030? Ila kodi mje kuchukua? Na wale waliokabidhiwa miradi hawatakiwi kusema Corona iliwaathiri?

Akili hizi za Lumumba na yule kinara wenu anazo hizi hizi?

Hizi ni akili kweli au matope?
Mkuu Kuna maisha mengine mbali na Corona, kemea hilo pepo linalokusumbua la kukaa unaiwazia Corona bado hujachelewa. Tatizo la ugonjwa ulio nao wa obsession usipoliwahi utakuwa unalala unaiota Corona. Hujishangai jumatatu mpaka jumapili tangu March 2020 threads zako ni Corona tu!???... Unadhani utabadilisha chochote!?.. we ni mjinga usiyejijua kuwa ni mjinga kwahiyo upo mbali sana na kuwa mwelevu siku za karibuni. Endelea na story za COVID Kama unadhani zitakusaidia lolote wewe kama wewe maishani.
 
Wewe achana na story za CORONA hazikuongezei kitu, unazeeka ukiiwaza Corona huna hata kademu kakuondolee mawazo ya Corona????... Unaonekana upo obsessed sana na Covid, Kuna maisha mengine mbali na Corona. Huwa najiuliza watu Kama nyie kabla ya Corona kuanza vichwa vyenu vilijaa makamasi gani mengine!????

Kwa hiyo nyie wenye videmu mlioondolewa mawazo ya Corona ndiyo hawa hapa?

IMG_20210218_174254_207.jpg

Kweri nyie vichwa vyenu vimejaa makamasi ya kudumu ndiyo maana mmeng'ang'ana kijuha juha eti "Corona ni vita vya uchumi dhidi ya Tanzania."

Kwa lipi mburula wewe?

Nyambafu!
 
View attachment 1718659

Kweri nyie vichwa vyenu vimejaa makamasi ya kudumu ndiyo maana mmeng'ang'ana kijuha juha eti "Corona ni vita vya uchumi dhidi ya Tanzania."

Kwa lipi mburula wewe?

Nyambafu!
Mkuu nipo serious mkuu. Unakaribia kuokota makopo kwasababu ya Corona, kuna maisha mengine zaidi ya Corona. Hebu jipe dakika 5 za kujiuliza ulianzaje kuwa obsessed na Covid!???.. au wife alikufa kwa Corona nini tangu mwaka jana mwezi wa 3??!??... Kuna kitu kichwani mwako hakipo sawa, huwezi kuwa unaiwazia Corona kila siku karibu mwaka 1 Sasa. Ikibidi kamuone daktari. Nipo serious mkuu.
 
Kweli nyani kuona kundule hawezi labda anunuliwe kioo.

Hivi wewe unaona uko sawa?

Kuwa:

1. Huu ugonjwa haupo.
2. Huu ugonjwa hauuwi ila hofu.
3. Huu ugonjwa ni vita vya uchumi dhidi ya Tanzania.
4. Chanjo zinaleta Corona.
5. Chanjo hizi ni upigaji dili wa mabeberu.
6. Chanjo hizi hazifai ila nyungu.
7. Taarifa sahihi kuhusiana na Corona zinaleta taharuki.
8. Nk.

Hivi mna maslahi gani na vifo vya watu kiasi mmejiridhisha kuwa acha wa kufa wajifie kibudu tu?

Hivi hata cha yule balozi au hata cha Che viliwauma kweli?

Kwamba una kereka mno unapoona popote mada yoyote kuhusiana na ugonjwa huu unaoouwa?

Jiangalie mkuu. Omba na wengine wakusaidie kukuangalia. Kuona ku*du lako kama ilivyo kwa manyani haiwezekani.

Ndiyo maana uzi huu kwa makusudi ulielekezwa kwa waungwana. Hata hilo nalo hukuliona?

I am serious. You must be nut!
 
Naingia gym kidogo ngoja waliokuelewa waje

Hao wa Lumumba? Waanzie wapi? Kwani kuna wanalosingiziwa nalo basi? Wao au kinara wao?

Hawana uchungu na maisha.

Ila kama hata walichoma moto vifaranga hai wataumia na nini kwa nani kufa?

Yote tisa ila salamu ziwafikie popote walipo. Mafumbo wakawafumbie wajinga.

Wenye ma gumboots kule makwao wako wengi. Huku kwingine tutang'amua na ujasiri wa kusema big NO mbona tunao mwingi tu?

Mengine wadanganyane wao wenyewe kwa wenyewe na kina Molel na kina waparamagamba.

Au Nasema uongo ndugu zangu?
 
Cha kusikitisha hizi kelele zote ni za msukumo wa kisiasa tu leo hii likitokea tukio la kisiasa hizi kelele zote za corona zinapotea.
 
Naona siku hizi tumeacha kabisa kuzungumzia muuaji huyu.
👇🏽👇🏽👇🏽

Aina za Wanawake unaopaswa kutumia Condom:

1: Kama ana tattoo - Tumia condom
2: Kama anakunywa vilevi Kama bia, konyagi, K-vant - Tumia condom
3: Kama anazima simu akiwa na wewe- Tumia condom oh
4: Kama akiwa wa Kwanza kukuvua shati- Condom
5: Kama kapaka nywele rangi- Condom
6: Kama haulizii condom wakati wa faragha - aise kaka vaa condom
7: Kama aguni au kulia ukimpapasa - Condom
8: Kama anaishi peke ake - Vaa Condom
9: Kama anafanya kazi saloni au baa - Condom
10: Kama ni mwanafunzi wa chuo hasa Udom, CBE au IFM - Tumia Condom tatu tafadhari
11: Kama ana marafiki wengi wa kiume kwenye mitandao ya kijamii Kama Facebook - Condom
12: Kama ni mfuasi wa mwanasiasa mashuhuri na pia anataka kujiunga na siasa - tafadhari tumia Condom
13: Kama ana Pete puani au cheni mguuni (kikuku) - Vaa Condom mara mbili
14: Kama ni mwanafunzi au Yuko chini ya miaka 18 - Vaa Condom
15: Kama anapenda kusema wanaume wote wanafanana au ni mbwa - Vaa Condom mara mbili
16: Ukiona anaukashifu huu ujumbe... Vaa Condom mara tatu

Nimeipata sehem jaman tuwe na tahadhari.....
 
Haya maisha ya ajabu sana yuleyule aliesema watanzania sio wajinga ndio huyohuyo anatufanya watanzania wajinga.
 
Ajabu na kweli ni kuwa hata wenye nafasi za kupaza sauti akawasikia nao wameufyata tunatunguka nao mmoja mmoja kimya kimya.

Kwani yule balozi aliwahi hata kupaza sauti. Si walikuwa wote mida yote?

Imekuwa kama wachuma majanga. Kimya kimya wanakula na wa kwao.

Ipo na hii mipimbi kama hili jmc06 yanatamani mno tujikite zaidi kwenye kula yale ma nanihii kimaskhara. Kwamba haya ya Corona tuachane nayo. Wa kufa afe na wa kuishi aishi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kweli nyani kuona kundule hawezi labda anunuliwe kioo.

Hivi wewe unaona uko sawa?

Kuwa:

1. Huu ugonjwa haupo.
2. Huu ugonjwa hauuwi ila hofu.
3. Huu ugonjwa ni vita vya uchumi dhidi ya Tanzania.
4. Chanjo zinaleta Corona.
5. Chanjo hizi ni upigaji dili wa mabeberu.
6. Chanjo hizi hazifai ila nyungu.
7. Taarifa sahihi kuhusiana na Corona zinaleta taharuki.
8. Nk.

Hivi mna maslahi gani na vifo vya watu kiasi mmejiridhisha kuwa acha wa kufa wajifie kibudu tu?

Hivi hata cha yule balozi au hata cha Che viliwauma kweli?

Kwamba una kereka mno unapoona popote mada yoyote kuhusiana na ugonjwa huu unaoouwa?

Jiangalie mkuu. Omba na wengine wakusaidie kukuangalia. Kuona ku*du lako kama ilivyo kwa manyani haiwezekani.

Ndiyo maana uzi huu kwa makusudi ulielekezwa makusudi kwa waungwana. Hata hilo nalo hukuliona?

I am serious. You must be nut!
Mkuu hakuna sehemu wala mahali popote niliposema huu ugonjwa haupo, wala kupinga lolote uliloorodhesha hapo namba 1 hadi 7 hapo juu. Corona ipo na inaua. Tatizo langu ni namna lilivyokuletea uchizi kama vile wewe ndo muanzilishi wa Corona duniani. Kuwa serious kidogo utanielewa mkuu, wala usikasirike najaribu kukusaidia. Kwa mfano Leo ni weekend watu wapo bize hata wamepumzika, hata walio JF waanzisha threads masaa yote Kama wewe Wana ishu tofauti za kujadili. Ila wewe jumatatu mpaka jumapili unaiwaza Corona huoni kama kuna nati imelegea kichwani!??.. ukijitafakari kidogo utanielewa. Kama upo Dar pita mtaani kwako uone kwamba maisha mtaani yanaendelea kama kawaida. Huwa nahisi umejifungia chumbani umebandika kwenye kuta zako picha za kirusi cha Corona ndo unakaa unawaza Corona. Jipe muda hata wa kumtafuta demu wako Kama yupo au bwana wako Kama wewe ni she. Kukaa unaiwaza Corona masaa 24 sio dalili nzuri. Kama mnywaji nunua hata bia mbili au konyagi ndogo itakusaidia kuwa na mawazo tofauti mbali na Corona. Corona bado ipo sana wasiwasi wangu usije kuanza kuokota makopo kwasababu ya Corona.
 
MKUU Werevu watamuepuka mpumbavu,na wapumbavu wamfuate mpumbavu mwenzao "To each his own"
 
Ajabu na kweli ni kuwa hata wenye nafasi za kupaza sauti akawasikia nao wameufyata tunatunguka nao mmoja mmoja kimya kimya.

Kwani yule balozi aliwahi hata kupaza sauti. Si walikuwa wote mida yote?

Imekuwa kama wachuma majanga. Kimya kimya wanakula na wa kwao.

Ipo na hii mipimbi kama hili jmc06 yanatamani mno tujikite zaidi kwenye kula yale ma nanihii kimaskhara. Kwamba haya ya Corona tuachane nayo. Wa kufa afe na wa kuishi aishi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu sema ukweli wako, hakuna ndugu yako wala jamaa yako aliyeanza kukushangaa na kukutahadharisha kuhusu kukaa unaiwazia Corona masaa yote Kama hivi nilivyokutahadharisha!??,sema ukweli wako, ukweli utakuweka huru. Bado nasisitiza najaribu kukusaidia kuondokana na huu ugonjwa(obsession) wa kukaa unaiwazia Corona 24/7.
 
Mkuu Kuna maisha mengine mbali na Corona, kemea hilo pepo linalokusumbua la kukaa unaiwazia Corona bado hujachelewa. Tatizo la ugonjwa ulio nao wa obsession usipoliwahi utakuwa unalala unaiota Corona. Hujishangai jumatatu mpaka jumapili tangu March 2020 threads zako ni Corona tu!???... Unadhani utabadilisha chochote!?.. we ni mjinga usiyejijua kuwa ni mjinga kwahiyo upo mbali sana na kuwa mwelevu siku za karibuni. Endelea na story za COVID Kama unadhani zitakusaidia lolote wewe kama wewe maishani.
Yaani jinsi mnavyoitetea hii corona ni kama vile nyie ndiyo mmeitengeneza! Mara mseme si ugonjwa wa hatari,mara mseme haupo,magu alisema kuwa virus wa corona ni "FUTA" tu,ukijifukiza kwa mvuke wenye nyuzi joto 100 linayeyuka na kutokomea mbali!! Nikahisi labda huyu mtu ameona korona haituui haraka sasa anataka tufe fasta zaidi kwa kujichemsha wenyewe tukiwa hai,yaani mtu akitaja corona mnashikwa na jazba,hasira zinapanda,mnatamani kumuua kabisa,wakati corona yenyewe wala haijui kama ina watetezi kama nyie,inawalia tu timing iwafyekelee mbali kmnyoko.
 
Mkuu wala sipo upande huo na sitetei chochote hapa. Huyu jamaa mleta mada tangu March mwaka uliopita amekomaa na Corona, mwanzo mwisho. Kwa siku lazima aanzishe threads zaidi ya 2 kuhusu Corona. Mwaka jana alikomaa kweli watu wawekwe lockdown. Sasa najaribu kumsaidia kama mtanzania mwenzangu kumnusuru maana anaelekea kuwa chizi kuokota makopo kwasababu ya Corona. Weka Siasa pembeni tujaribu kumsaidia huyu mtu anaelekea kuwa chizi na kuokota makopo. Nipo serious mkuu.
 
Mkuu sema ukweli wako, hakuna ndugu yako wala jamaa yako aliyeanza kukushangaa na kukutahadharisha kuhusu kukaa unaiwazia Corona masaa yote Kama hivi nilivyokutahadharisha!??,sema ukweli wako, ukweli utakuweka huru. Bado nasisitiza najaribu kukusaidia kuondokana na huu ugonjwa(obsession) wa kukaa unaiwazia Corona 24/7.
Hata dalili ulizonazo za kumfuatilia mwanamume mume wa mtu tokea mwaka jana mwezi wa tatu hadi leo si dalili nzuri kabisa!!unajua hadi idadi ya post zake hapa jf,hadi maudhui yake,itabidi tukuanzishie tiba asap!
 
Kweli nyani kuona kundule hawezi labda anunuliwe kioo.

Hivi wewe unaona uko sawa?

Kuwa:

1. Huu ugonjwa haupo.
2. Huu ugonjwa hauuwi ila hofu.
3. Huu ugonjwa ni vita vya uchumi dhidi ya Tanzania.
4. Chanjo zinaleta Corona.
5. Chanjo hizi ni upigaji dili wa mabeberu.
6. Chanjo hizi hazifai ila nyungu.
7. Taarifa sahihi kuhusiana na Corona zinaleta taharuki.
8. Nk.

Hivi mna maslahi gani na vifo vya watu kiasi mmejiridhisha kuwa acha wa kufa wajifie kibudu tu?

Hivi hata cha yule balozi au hata cha Che viliwauma kweli?

Kwamba una kereka mno unapoona popote mada yoyote kuhusiana na ugonjwa huu unaoouwa?

Jiangalie mkuu. Omba na wengine wakusaidie kukuangalia. Kuona ku*du lako kama ilivyo kwa manyani haiwezekani.

Ndiyo maana uzi huu kwa makusudi ulielekezwa makusudi kwa waungwana. Hata hilo nalo hukuliona?

I am serious. You must be nut!
Real nuts indeed! Huyu jamaa ukisoma makala alizokuwa akiandika kuhusu jaribio la kumuua Lissu utajua hamnazo kabisa. Mawazo ya ajabu anayaandika ameuma meno. Ana roho ya msagasumu au mkaanga sumu. Ni saa mbovu muda wote. Haikosei hata mara moja kusoma majira sahihi.
Anazungumzia Brazaj kuwa na obsession ya corona. Ambayo ni kama hobby tu na si ugonjwa. Jmc06 ni psychiatric. Anaandika kama ana mamlaka na madaraka si ya dunia hii. Fulani watamminya. Hili au lile haliwezi tokea. Anamjua JPM zaidi kuliko JPM anavyojifahamu! Jmc06 ni obsessed na grandiosity. Zake ni ccm itatawala miaka 1000. Mirembe inamhusu kwa sana!
 
Mkuu hakuna sehemu wala mahali popote niliposema huu ugonjwa haupo, wala kupinga lolote uliloorodhesha hapo namba 1 hadi 7 hapo juu. Corona ipo na inaua. Tatizo langu ni namna lilivyokuletea uchizi kama vile wewe ndo muanzilishi wa Corona duniani. Kuwa serious kidogo utanielewa mkuu, wala usikasirike najaribu kukusaidia. Kwa mfano Leo ni weekend watu wapo bize hata wamepumzika, hata walio JF waanzisha threads masaa yote Kama wewe Wana ishu tofauti za kujadili. Ila wewe jumatatu mpaka jumapili unaiwaza Corona huoni kama kuna nati imelegea kichwani!??.. ukijitafakari kidogo utanielewa. Kama upo Dar pita mtaani kwako uone kwamba maisha mtaani yanaendelea kama kawaida. Huwa nahisi umejifungia chumbani umebandika kwenye kuta zako picha za kirusi cha Corona ndo unakaa unawaza Corona. Jipe muda hata wa kumtafuta demu wako Kama yupo au bwana wako Kama wewe ni she. Kukaa unaiwaza Corona masaa 24 sio dalili nzuri. Kama mnywaji nunua hata bia mbili au konyagi ndogo itakusaidia kuwa na mawazo tofauti mbali na Corona. Corona bado ipo sana wasiwasi wangu usije kuanza kuokota makopo kwasababu ya Corona.

Hahaahaaa haa haa.

Message sent and well delivered.

Mada imewafikia walengwa kama ilivyo kusudiwa. Yote yaliyopo kwenye mada umeyakubali kuwa ni ukweli mtupu. Hilo ni la maana zaidi.

Tunataka uwajibikaji hatutaki upotoshaji.

Kwamba umekubali:

1. Fichaji ya takwimu si sawa.
2. Ugonjwa huu upo ni mbaya na unauwa.
3. Ugonjwa huu si vita vya uchumi dhidi ya Tanzania.
4. Chanjo hizi ni salama na zinaokoa maisha.
5. Chanjo kupitia COVAX ni bure.
6. Chanjo hizi ni kimbilio.
7. Nk

Kwamba wenzako wote wameufyata ni dalili njema kuwa damu itakuwa imeanza kuwatoka masikioni.

Kwamba watu wanaendelea kufa kwa uzembe wa wazi wa walioko madarakani, hatutanyamaza. Kwa hilo hatuna weekend, wala likizo. Na bado!

Kuna janga na serikali inajifanya kuwa hakuna janga? Inakwepa kuwajibika?

Take it from me, kama kutoka damu masikioni ndicho kinachohitajika kabla hamjasikia, na iwe hivyo.

Kama una kereka mno na nyuzi za gonjwa hili ambalo labda kwa kelele jama hizi pana maisha yataokolewa, na ukereke uvimbe hadi ukapasuke.

Nimepiga kelele hizi tokea around March 16, 2020 consistently nikiipigania haki yangu ya kuishi mimi, wapendwa wangu na wote wakiwamo hata walionibeza ukiwamo wewe.

Kiungwana kama mada ilivyotambua pale juu ulipaswa kunipongeza wala si kunibeza.

Ni vyema serikali ikatambua tunakereka sana na misimamo yake kuhusiana na ugonjwa huu unaoouwa watu pasipo na kuchagua.

Na hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Mkuu sema ukweli wako, hakuna ndugu yako wala jamaa yako aliyeanza kukushangaa na kukutahadharisha kuhusu kukaa unaiwazia Corona masaa yote Kama hivi nilivyokutahadharisha!??,sema ukweli wako, ukweli utakuweka huru. Bado nasisitiza najaribu kukusaidia kuondokana na huu ugonjwa(obsession) wa kukaa unaiwazia Corona 24/7.

Unatia huruma.

Kwa taarifa yako kwenye hili hadi pale kenge atakaposikia tupo wengi kweri kweri.

JOTO ya jiwe hata kwenye uzi huu si umelisikia eeh?

Kumbe kwa maisha ya Lissu nako ulikuwa na yako?

Kumbe wewe ni gwiji kwenye kitengo chenu?

IMG_20210218_174254_207.jpg

Nawashukuru washirika kwa kukutambulisha ulivyo na umtu gani hasa, kutambua kumbe kwa nini maisha ya wengine kwenu katu si kitu kabisa.

Mumiani wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom