- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Real nuts indeed! Huyu jamaa ukisoma makala alizokuwa akiandika kuhusu jaribio la kumuua Lissu utajua hamnazo kabisa. Mawazo ya ajabu anayaandika ameuma meno. Ana roho ya msagasumu au mkaanga sumu. Ni saa mbovu muda wote. Haikosei hata mara moja kusoma majira sahihi.
Anazungumzia Brazaj kuwa na obsession ya corona. Ambayo ni kama hobby tu na si ugonjwa. Jmc06 ni psychiatric. Anaandika kama ana mamlaka na madaraka si ya dunia hii. Fulani watamminya. Hili au lile haliwezi tokea. Anamjua JPM zaidi kuliko JPM anavyojifahamu! Jmc06 ni obsessed na grandiosity. Zake ni ccm itatawala miaka 1000. Mirembe inamhusu kwa sana!
Hata dalili ulizonazo za kumfuatilia mwanamume mume wa mtu tokea mwaka jana mwezi wa tatu hadi leo si dalili nzuri kabisa!!unajua hadi idadi ya post zake hapa jf,hadi maudhui yake,itabidi tukuanzishie tiba asap!
Hawa ni wa kutolea uvivu tu. Kenge ana namna yake pekee ya kusikia.
Tumeshawashinda hawa kenge Mkuu walidhani Watanzania tutanyamaza kimya kuogopa vitisho vyao. Sasa wamegundua sauti zinazidi kupazwa kila kona.
Leo Karne ya 20 atamwaminisha nani nini cha kumwachia Mungu kama taifa?
Yaani mkatoloki mmoja mwenye majibu ya waliko kina Azory na kina Ben anataka kutuaminisha kuwa yeye ni mkatoloki mno kuliko hata Papa.
Jamani mengine haya si ni ya kuambia ndege warukao angani?
Au nasema uongo ndugu zangu?
Watakaotangaza vifo watashitakiwa...