#COVID19 Corona: Tuukatae upotoshaji huu tunapochukua tahadhari


To be honest hili jamaa jmc06 pamoja na yote, ni jinga kuliko maelezo. Sijui hata wanaoajiri mijitu ya hivi wanaiokota wapi. Kimsingi ni more of a liability.

Halioni hata kwanini wenzie wameufyata. Haliwezi kuelewa. Linashangaa kwanini wengine wana mawazo waliyo nayo.

Linashangaa kwanini wengine hawaoni hiyo fictitious war dhidi ya Tanzania. Nyambafu!

Mijitu ya namna hii ni kuyatolea uvivu tu.

Haisaidii kuinyamazia.
 
Hata dalili ulizonazo za kumfuatilia mwanamume mume wa mtu tokea mwaka jana mwezi wa tatu hadi leo si dalili nzuri kabisa!!unajua hadi idadi ya post zake hapa jf,hadi maudhui yake,itabidi tukuanzishie tiba asap!

Typical mental case!
 
Tumeshawashinda hawa kenge Mkuu walidhani Watanzania tutanyamaza kimya kuogopa vitisho vyao. Sasa wamegundua sauti zinazidi kupazwa kila kona.
Hawa ni wa kutolea uvivu tu. Kenge ana namna yake pekee ya kusikia.
 
Tumeshawashinda hawa kenge Mkuu walidhani Watanzania tutanyamaza kimya kuogopa vitisho vyao. Sasa wamegundua sauti zinazidi kupazwa kila kona.

Leo Karne ya 20 atamwaminisha nani nini cha kumwachia Mungu kama taifa?

Yaani mkatoloki mmoja mwenye majibu ya waliko kina Azory na kina Ben anataka kutuaminisha kuwa yeye ni mkatoloki mno kuliko hata Papa.

Jamani mengine haya si ni ya kuambia ndege warukao angani?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Uko sawa kabisa ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…