joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Endelea kungoja. Utangoja sana mkuuThe giant economy of Africa.wiki tatu chali
Nilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.COVID19: IMF Rushes to Rwanda’s Rescue as Economy Grinds to a Halt; Urges International Grants
Fuko la fedha la dunia (IMF) limelazimika kuingilia kati na kuikopesha fedha Rwanda kwa dharura, ili kuunusuru uchumi wake ambao upo taabani kufuatia agizo la kuzuia watu majumbani kwa wiki 3.
Hivi inaonyesha ni jinsi gani hizi chini zetu zilivyo dhahifu sana, kiasi cha kushindwa kuhimili misukosuko japo kwa wiki moja, hivyo ni vizuri kwa viongozi wetu kusoma mazingira ya nchi husika kwanza kabla ya kutoa maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shenzNilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.
Kenya yenye uchumi wa middle income mbona mmeshindwa kuhimili covid-19 pia!? Nyani huoni kundu lako?Nilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.
Hakuna nchi yoyote hapa East Africa yenye uwezo wa kusimamisha shughuli za maendeleo kwa wiki tatu mfululizo, hiyo ndio sababu kubwa ya Uhuru Kenyatta kusita kutangaza "lockdown" pamoja na kwamba Kenya ina maambukizi mengi kuliko Rwanda au Uganda.Nilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.
The thing is all the three countries Burundi, Rwanda and DRC r to connect our SGR at Isaka! Only Kimavi from Kunyaland can argue the project won't be financial viable!Hakuna nchi yoyote hapa East Africa yenye uwezo wa kusimamisha shughuli za maendeleo kwa wiki tatu mfululizo, hiyo ndio sababu kubwa ya Uhuru Kenyatta kusita kutangaza "lockdown" pamoja na kwamba Kenya ina maambukizi mengi kuliko Rwanda au Uganda.
Magufuli aliliona hilo mapema sana, ndio sababu alikataa kabisa kusimamisha shughuli za kiuchimi hadi hapo itakapoonekana hakuna jinsi.
Kuhusu mkopo, sidhani kama unayosema ni sahihi, katika kutoa mikopo, wakopeshaji hawaangalii kama nchi ni tajiri au masikini, wanachoangalia ni kama hiyo reli itapata mzigo au hapana. Reli kutoka Tanzania - Rwanda- DRC, inafaida zaidi kuliko Mombasa na kuishia Kampala, kwasababu ya madini ya Eastern DRC.
Reli ya kwenda Burundi hadi sasa bado haivutii sana, japo wanasema Burundi kuna madini ya bati mengi sana, lakini hayajachimbwa bado, hakuna mwenye uhakika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
America pia wameshindwa kudhibiti Covid ilhali wao ni first world.Kenya yenye uchumi wa middle income mbona mmeshindwa kuhimili covid-19 pia!? Nyani huoni kundu lako?
Kenya secures $50m coronavirus loan from World Bank, cases hit 110 | Africanews
Kichwa cha habari cha hiyo barua nikajieleza wazi kwamba ni kwa ajili ya kuziokoa kutokana na mawimbi ya kiuchumi yatakayosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona.Ni nchi zimeomba fedha kukabiliana na hili Janga sidhani kama ni Swala la ku-rescue uchumi as you say View attachment 1407471
Hivi hizo pesa ni mkopo au msaada?COVID19: IMF Rushes to Rwanda’s Rescue as Economy Grinds to a Halt; Urges International Grants
Fuko la fedha la dunia (IMF) limelazimika kuingilia kati na kuikopesha fedha Rwanda kwa dharura, ili kuunusuru uchumi wake ambao upo taabani kufuatia agizo la kuzuia watu majumbani kwa wiki 3.
Hivi inaonyesha ni jinsi gani hizi chini zetu zilivyo dhahifu sana, kiasi cha kushindwa kuhimili misukosuko japo kwa wiki moja, hivyo ni vizuri kwa viongozi wetu kusoma mazingira ya nchi husika kwanza kabla ya kutoa maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda lockdown ya wiki moja wameshindwa kuvumilia wamekimbilia IMF, wataweza kuvumilia SGR kutoka Isaka hadi Kigali jameni?The thing is all the three countries Burundi, Rwanda and DRC r to connect our SGR at Isaka! Only Kimavi from Kunyaland can argue the project won't be financial viable!
Tony254, lini mtajisimamia na kujiamulia mambo yenu wenyewe bila kutaja America?.America pia wameshindwa kudhibiti Covid ilhali wao ni first world.
Kenya bila hata "lockdown" hata ya siku moja lakini mumekimbilia kuomba msaada, "better Rwanda than Kenya"Rwanda lockdown ya wiki moja wameshindwa kuvumilia wamekimbilia IMF, wataweza kuvumilia SGR kutoka Isaka hadi Kigali jameni?
America ikibong'oa Kunyaland itapanua pia!Tony254, lini mtajisimamia na kujiamulia mambo yenu wenyewe bila kutaja America?.
Kwahiyo ninyi mnaona kwasababu America maambukizi ni mengi, basi Kenya haiwezi kuzuia maambukizi?
Kwasababu America wanakufa kwa Ugonjwa wa Corona, kwahiyo haiumizi sana wakenya wakifa kutokana na Corona?
Hivi America kwa wakenya ni zaidi ya Mungu, sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya without any "lockdown"Rwanda lockdown ya wiki moja wameshindwa kuvumilia wamekimbilia IMF, wataweza kuvumilia SGR kutoka Isaka hadi Kigali jameni?
Ningoje nini siku 21 mshaomba poo,uchumi uliokua uko wapi?Endelea kungoja. Utangoja sana mkuu