Corona: Uchumi wa Rwanda taabani kufuatia " lockdown".

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
COVID19: IMF Rushes to Rwanda’s Rescue as Economy Grinds to a Halt; Urges International Grants
Fuko la fedha la dunia (IMF) limelazimika kuingilia kati na kuikopesha fedha Rwanda kwa dharura, ili kuunusuru uchumi wake ambao upo taabani kufuatia agizo la kuzuia watu majumbani kwa wiki 3.

Hivi inaonyesha ni jinsi gani hizi chini zetu zilivyo dhahifu sana, kiasi cha kushindwa kuhimili misukosuko japo kwa wiki moja, hivyo ni vizuri kwa viongozi wetu kusoma mazingira ya nchi husika kwanza kabla ya kutoa maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shenz

Kenya yenye uchumi wa middle income mbona mmeshindwa kuhimili covid-19 pia!? Nyani huoni kundu lako?

Kenya secures $50m coronavirus loan from World Bank, cases hit 110 | Africanews
 
Nilikuwa nikiwaambia wewe na Geza Ulole kuwa Rwanda, Burundi na DR Congo ni nchi dhaifu sana kiuchumi ila mkapinga sana. Niliwaambia hizi nchi haziwezi kupata mkopo kutoka any commercial bank kwa sababu ya kujenga reli. Unaona sasa mzaha mzaha kitumbua kimeingia mchanga huku CCM ikiwa na plani nzito sana ya kupeleka reli Burundi, Rwanda na DR Congo. Nyie mna kichaa jameni, hizi nchi tatu ni shithole kabisa.
Hakuna nchi yoyote hapa East Africa yenye uwezo wa kusimamisha shughuli za maendeleo kwa wiki tatu mfululizo, hiyo ndio sababu kubwa ya Uhuru Kenyatta kusita kutangaza "lockdown" pamoja na kwamba Kenya ina maambukizi mengi kuliko Rwanda au Uganda.

Magufuli aliliona hilo mapema sana, ndio sababu alikataa kabisa kusimamisha shughuli za kiuchimi hadi hapo itakapoonekana hakuna jinsi.

Kuhusu mkopo, sidhani kama unayosema ni sahihi, katika kutoa mikopo, wakopeshaji hawaangalii kama nchi ni tajiri au masikini, wanachoangalia ni kama hiyo reli itapata mzigo au hapana. Reli kutoka Tanzania - Rwanda- DRC, inafaida zaidi kuliko Mombasa na kuishia Kampala, kwasababu ya madini ya Eastern DRC.

Reli ya kwenda Burundi hadi sasa bado haivutii sana, japo wanasema Burundi kuna madini ya bati mengi sana, lakini hayajachimbwa bado, hakuna mwenye uhakika sana.

The thing is all the three countries Burundi, Rwanda and DRC r to connect our SGR at Isaka! Only Kimavi from Kunyaland can argue the project won't be financial viable!
 
Ni nchi zimeomba fedha kukabiliana na hili Janga sidhani kama ni Swala la ku-rescue uchumi as you say
EUm4xGiWoAYHScg.jpeg
 
COVID19: IMF Rushes to Rwanda’s Rescue as Economy Grinds to a Halt; Urges International Grants
Fuko la fedha la dunia (IMF) limelazimika kuingilia kati na kuikopesha fedha Rwanda kwa dharura, ili kuunusuru uchumi wake ambao upo taabani kufuatia agizo la kuzuia watu majumbani kwa wiki 3.

Hivi inaonyesha ni jinsi gani hizi chini zetu zilivyo dhahifu sana, kiasi cha kushindwa kuhimili misukosuko japo kwa wiki moja, hivyo ni vizuri kwa viongozi wetu kusoma mazingira ya nchi husika kwanza kabla ya kutoa maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizo pesa ni mkopo au msaada?
 
The thing is all the three countries Burundi, Rwanda and DRC r to connect our SGR at Isaka! Only Kimavi from Kunyaland can argue the project won't be financial viable!
Rwanda lockdown ya wiki moja wameshindwa kuvumilia wamekimbilia IMF, wataweza kuvumilia SGR kutoka Isaka hadi Kigali jameni?
 
America pia wameshindwa kudhibiti Covid ilhali wao ni first world.
Tony254, lini mtajisimamia na kujiamulia mambo yenu wenyewe bila kutaja America?.

Kwahiyo ninyi mnaona kwasababu America maambukizi ni mengi, basi Kenya haiwezi kuzuia maambukizi?

Kwasababu America wanakufa kwa Ugonjwa wa Corona, kwahiyo haiumizi sana wakenya wakifa kutokana na Corona?

Hivi America kwa wakenya ni zaidi ya Mungu, sio?

America ikibong'oa Kunyaland itapanua pia!
 
Mpaka Sasa Uganda ndo bado haijayumba,lockdown ya Uganda Ni kiboko,maana hata magari binafsi marufuku barabarani,,bar,Gest,Disco zote zimepigw supana
 
Back
Top Bottom