Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Una sema ume maliza kusoma kitabu kilicho tabiri corona wakati huo huo coverpage ya kitabu ulicho kisoma ni End of the Days picha ya kwanza ya sehem ya kitabu ume weka kitabu kingne ambacho ni Eyes of the Darkness

Pia ukaweka na page sasa ya kitabu ulicho soma

Swali kwako
Umesoma kitabu KILICHO tabiri corona
ama

Umesoma vitabu VILIVO tabiri Corona?
Baada ya kukitafuta saana hatimae kitabu nimekipata baadhi ya maandiko haya ambapo kitabu kimetabiri corona itapotea hapaView attachment 1412025View attachment 1412026

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Ngoja nisubiri hiyo ya 10yrs later
 
Kasie,
Ni hatari sana ila Movie nyingi za zamani zilikuwa zinafanywa ku_spin mambo tu,si unajua wachungaji wengi ni TISS.
 
Hivi ili usome kitabu lazma uwe nacho mkononi? Hujui kuhusu soft copy?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa nacho softcopy ungetuma picha screenshots.sasa unasema umetafuta na ukapata kitabu kilichotafsiri alafu unatutumia picha zile zile zilizozagaa mitandaoni sasa wew umetafuta nini jamaa?ungeandika "Nimeomba kutumiwa picha zilizosambaa kuhusu utabiri wa korona katika kitabu sasa nimezipata"..na sio kutuandikia as if umesoma na unatutumia picha zile zile.Ni sawa na kutuambia mkeo kajifungua mtoto wa kiume alafu unanionesha wa jirani.kuwa serious[emoji57][emoji57][emoji57]
 
'ungeandika "Nimeomba kutumiwa picha zilizosambaa kuhusu utabiri wa korona katika kitabu sasa nimezipata"..na sio kutuandikia as if umesoma na unatutumia picha zile zile.Ni sawa na kutuambia mkeo kajifungua mtoto wa kiume alafu unanionesha wa jirani.kuwa serious[emoji57][emoji57][emoji57]'

Hahah ujue unazidi kumtesa kisaikolojia mtoa mada aisee.
 
Ni hatari sana ila Movie nyingi za zamani zilikuwa zinafanywa ku_spin mambo tu,si unajua wachungaji wengi ni TISS.

Hivyo eeehh.... duuuh!!

Ghafla haya majina yamenijia kichwani....Gwajima, Mama Rwakatare, yule wa Riverside na wa Efatha...
 
Back
Top Bottom