Albert_2010
Member
- Feb 8, 2020
- 14
- 8
Kinachotisha sio idadi ya vifo bali kasi ya maambukizi ni kubwa sana kiasi cha kutishia kuangusha mfumo wa tiba. Baadhi huumwa sana kiasi cha kulazimika kulazwa ICU, hata hivyo idadi ya wodi hizo ni chache kuhimili wagonjwa. Ndio maana unasikia kuna hospitali za dharura/maalum zimejengwa/tengwa kuhudumia ongezeko la wagonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app