Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
OdoiHakuna binadamu mweusi mpaka sasa aliyedhibitishwa kuugua ugonjwa huu wa kutengenezwa kwa sababu zao mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OdoiHakuna binadamu mweusi mpaka sasa aliyedhibitishwa kuugua ugonjwa huu wa kutengenezwa kwa sababu zao mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Odoi kiongoziSo far hakuna Mwafrika (black) aliyekuwa tested positive na hizi cases reported Africa wote sio waafrica isipokuwa Kenya ambapo nako bado kuna utata kama yule mgonjwa ni Mkenya mwenye ngozi nyeusi
Let’s hope for the best. Kuna giza nene huko mbele maana hii hali ya baadhi ya Nchi kupiga marufuku ndege kuingia kwao, kutokutoa visa na mipaka kufungwa mwisho wake ni vitu kupanda bei
Na wanaoathirika na kusambaza ni watu wenye fedha, na positions, coz ndiyo wenye uwezo wa kukwea pipa na kukutana na watu wenye muingiliano...kama huyo aliyesimama pembeni ya Trump...PM wa Canada...Iranian MPs...Wanasema ni asilimia 2 hadi 6 za wanaoupata hufariki.
Wengi wao ni wazee wa miaka 60 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hivi mkuu mtu wa matombo utamfikia kweli? Niliwahi kumsindikiza mtu kwenye msiba, mnapanda milima mpka mnatafuta sehemu ya kupumzika.Na wanaoathirika na kusambaza ni watu wenye fedha, na positions, coz ndiyo wenye uwezo wa kukwea pipa na kukutana na watu wenye muingiliano...kama huyo aliyesimama pembeni ya Trump...PM wa Canada...Iranian MPs...
Ingekuwa waathirika ni maskini, mpaka tumeusikia walishakufa watu hata laki3...
Ni mtizamo tu binafsi...
Mkulima huko Matombo, atapelekewa tu...
Everyday is Saturday....................... 😎
Na wanaoathirika na kusambaza ni watu wenye fedha, na positions, coz ndiyo wenye uwezo wa kukwea pipa na kukutana na watu wenye muingiliano...kama huyo aliyesimama pembeni ya Trump...PM wa Canada...Iranian MPs...
Ingekuwa waathirika ni maskini, mpaka tumeusikia walishakufa watu hata laki3...
Ni mtizamo tu binafsi...
Mkulima huko Matombo, atapelekewa tu...
Everyday is Saturday....................... 😎
Noma Sana hawa virusi !!
Labda anangojea waingie White House[emoji4]Noma sana kamanda...jamaa ana maskadi kibao sijui anasubiri nini kulipua hili janga...very sad aise!
Inasikitisha ile mibomu yao ya nyuklia, inaota kutu, haisaidii kitu, DEFENCE BUDGET ZA TRILLIONS, kikorona kidudu kinachoonekana kwa darubini...kinawapelekesha...Noma sana kamanda...jamaa ana maskadi kibao sijui anasubiri nini kulipua hili janga...very sad aise!
Njama za viongozi kutuletea, wamechukua muda SANA kuwa pro-active..hizi political gains zinatu cost watanzania..Taarifa za uwepo wa kirusi ziliwapa viongozi brain freeze...