Albert_2010
Member
- Feb 8, 2020
- 14
- 8
Small mind. Mkiambiwa mlete uthibitisho kuwa ni biologically engineered, mnaingia mitini. Ndio shida ya watu wa vijiweni.
Ni mwendo wa kununua stock ya kutosha ya chakula na kujifungia ndani until futher notice.Noma Sana hawa virusi !!
Ulaya na Marekani watu wamekimbilia ku stock toilet paper hadi kusabisha upungufu mkubwa madukani na supermarket. Swali why toilet paper?Ni mwendo wa kununua stock ya kutosha ya chakula na kujifungia ndani until futher notice.
Kwasababu China ndio wanazalisha hizi TP na kutokana na tatizo hili la Coronavirus yawezekana wasiweze tena ku export.Ulaya na Marekani watu wamekimbilia ku stock toilet paper hadi kusabisha upungufu mkubwa madukani na supermarket. Swali why toilet paper?
Wale timu zakimarekani za kibongo walikua wakisema kuwa biological weapon katengenezewa Iran na china wako wapi?? Kwa hio biological weapon imewarejea wenyewe na inawauwa wenyewe?
Always trust yr self.
Itakuwa aibu mwafrika kufa kwa Mafua!Hakuna binadamu mweusi mpaka sasa aliyedhibitishwa kuugua ugonjwa huu wa kutengenezwa kwa sababu zao mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka, tafuta taarifa ya Rudy Gobert na Donavon Mitchell ndiyo utajua hawa watu ni wazungu au wachina?Hakuna binadamu mweusi mpaka sasa aliyedhibitishwa kuugua ugonjwa huu wa kutengenezwa kwa sababu zao mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Small mind. Mkiambiwa mlete uthibitisho kuwa ni biologically engineered, mnaingia mitini. Ndio shida ya watu wa vijiweni.
Itakuwa aibu mwafrika kufa kwa Mafua!
Ramli chonganishi..Walivitengeneza wakidhani watabaki salama..? Mungu wetu tulinde siye waja wako wa Africa [emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app