Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji


Vice President wa bunge la Burkina Faso amekufa kwa Corona


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nafikiri inatakiwa iwekwe utaratibu. Taarifa zote ama za watu binafsi ama mashirika nakadhalika juu ya kuenea na kudhibiti ugonjwa huu wa Corona zinatakiwa kutolewa na chombo rasmi ambayo ni wizara ya Afya. Iwe marufuku kutoa takwimu na taarifa juu ya ugonjwa huu bila kuidhinishwa na Wizara yetu ya Afya. Hii itasaidia sana kupunguza taharuki nchini juu ya ugonjwa huu. Yeyote atakaye kiuka utaratibu huu ashughulikiwe hasa. Mitandao yote na vyombo vingine vya habari vifuatiliwe kwa ukaribu. Wahusika wafanyie kazi ushauri huu.
 
Pumba kama Serikali imeshindwa kufanya kazi yake.
Acha iwe hvihvi ndo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utakua nabii si bure kila unachoongea kinakujaga kuwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…