Corona: Waganda washitushwa na kasi ya maambukizi ya Kenya, washauriana kutotembelea Kenya

Corona: Waganda washitushwa na kasi ya maambukizi ya Kenya, washauriana kutotembelea Kenya

Hawa akili zao zina ganzi wao wanachojua ukimuiga marekani tu bac ndio ushatoboa Sasa mmarekani mwenyew anatapatapa ndio maana mk254 kilacku badala ya kusifu maambukiz yanapungua utaona "linaandika ndani ya masaa 24 tumepima watu 268 tumepata 7 wenye virusi " ni upumbavu wa kiwango Cha juu kabisa , Sasa kunafaida gani ya kuaanfika au chakufurahia hasa au anafurahia kupima?
Waingereza, wajapan, Sweden na nchi nyingi za Ulaya pia hazipimi, lakini idadi ya wagonjwa na vifo vinaongezeka kila siku. Vipi kuhusu watu wanaokufa kwa Corona, hata waganda hawapimi vifo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyans are always careless.

1.wale magaidi walipovamia Mall. Wanajeshi walipoingia ndani wakaanza kuiba simu, biskuti etc kwenye supamaketi.
Unashinda ukirudia hili jambo ni kama akili yako ikisharekodi jambo, unarudia rudia hilo jambo kama tepu rekoda iliyoharibika.
 
Hawa akili zao zina ganzi wao wanachojua ukimuiga marekani tu bac ndio ushatoboa Sasa mmarekani mwenyew anatapatapa ndio maana mk254 kilacku badala ya kusifu maambukiz yanapungua utaona "linaandika ndani ya masaa 24 tumepima watu 268 tumepata 7 wenye virusi " ni upumbavu wa kiwango Cha juu kabisa , Sasa kunafaida gani ya kuaanfika au chakufurahia hasa au anafurahia kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa lengo lake ni kutaka kuonyesha kwamba bado wanayosababu ya kushindana na Tanzania, lengo lake hataki ionekane kwamba Kenya imeshindwa na Tanzania, atabadisha kila lugha ili aendelee kujipa matumaini ya kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hasira wewe nyang'au.
Nyie mkianza kuanguka kama nzi ndio mtajua umuhimu wa kupima watu. Sasa hivi Dar watu wanayo virusi vya corona ila hakuna vipimo. Sasa mnangoja watu waanze kuanguka kila mahali ili mjue hali ni tete? Pimeni watu wacheni zogo
 
Unashinda ukirudia hili jambo ni kama akili yako ikisharekodi jambo, unarudia rudia hilo jambo kama tepu rekoda iliyoharibika.
Lakini si ni kweli kwamba ninyi ni watu wa hovyo?, badala ya kuziba njia kuu zinazosababisha maambukizi mapya, ninyi kazi yenu ni kupima watu na kutangaza, bila kuchukua hatua madhubuti kama walivyofanya waganda na Rwanda. Maambukizi yakianza kupungua kwa wenzenu Wanyarwanda wenye idadi kubwa kama ninyi, mtaanza kusema ni kwasababu hawapimi watu wengi, wajinga kabisa ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda juzi walipima watu 231 kwa siku na hawakupata hata mtu mmoja mwenye virusi, siku hiyo hiyo Kenya ilipima watu 210 na ilipata watu 7 wenye vizuri. Kenya ni wazembe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea Uganda walipima watu gani. Sisi tunafanya contact tracing na tunapima familia ya muathirika pia. Hatujui pengine Uganda walikuwa wanapima watoto wa Museveni na familia yake.
 
Nyie mkianza kuanguka kama nzi ndio mtajua umuhimu wa kupima watu. Sasa hivi Dar watu wanayo virusi vya corona ila hakuna vipimo. Sasa mnangoja watu waanze kuanguka kila mahali ili mjue hali ni tete? Pimeni watu wacheni zogo
Hahahaha, maneno ya mtu mwenye kukata tamaa hayo, mbona wasianze kuumwa na kwenda katika vituo vya Afya kutafuta matibabu?, au Tanzania virusi havitudhuru ndio sababu hatufi kama ninyi wakenya?

Ukweli ni kwamba, hamna uwezo wa kupambana na aina yoyote ya majanga yanayoikumba Kenya

1)Ukame
2)Njaa
3)Nzige
4)Kipindupindu
5)Terrorism
6)UKIMWI
7)Corona

Katika hayo majanga, lipi ambalo mumeizidi Tanzania katika kuyakabili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio mjinga peke yako, huna unalojua zaidi ya kupiga domo, nchi zote za Ulaya hazipimi wanatumia dalili pekee, hiyo haizuii kuwajua wagonjwa na kujua waliokufa.

Juzi Kenya walipima watu 210 na kupata walioambukizwa ni 7, siku hiyo hiyo Uganda walipima watu 231, hakuna hata mmoja aliyekutwa na maambukizi.

Hawa wakenya ni wazembe sana, badala ya wao kujikita zaidi katika kuzuia maambukizi yasisambae, wao kazi yao ni kupima na kutangaza matokeo na kujisifia kupima kwamba ndio jambo la maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pengine huna data ya internet naweza kukutumia pesa ukanunue data ili uingie kwenye internet ugoogle kama kweli Uingereza hawapimi. Kama Kenya inapima, itakuwaje Uingereza ambayo ni tajiri zaidi ya mara mia moja ya Kenya haipimi? Nchi za Europe karibu zote zimeshafanya vipimo zaidi ya elfu mia moja. Tanzania tu ndio masikini na wazembe halafu wanafikiri kila mtu hapimi kwa sababu wao hawapimi.
 
Tony254, Mimi nikisema kwamba Kenya hamna akili na wala hamjui mnalofanya hapa duniani unadhani ninasema kiushabiki.

Ninyi wakenya ni watu wa ajabu sana, mnadhani duniani kote hawana akili kama ninyi, mnadhani kwasababu ni matajiri watafanya mambo yasiyokuwa na faida yoyote?.

Kupima watu bila kuonyesha dalili yoyote hasa kwa ugonjwa wenye " Incubation " period fupi na ambao hauna dawa kama Corona, haisaidii lolote zaidi ya kupoteza pesa.

Njia bora inayofaa na inatumika duniani kote ni kuwatenga watu wote ambao wanatia shaka kuwa na nafasi ya kuambukizwa kwa siku 14, na atakayeonyesha dalili ndio unampima ili kuwa na uhakika.

Huyu hapa ni daktari huko Uingereza na pia aliambukizwa Corona, msikilize anasema waingereza hawapimi, nitakuletea na wengine toka nchi ya Sweden na Germany

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread kama hizi ndiyo zinasababisha tunaonekana Watanzania ndiyo vilaza namba moja hapa East Africa.

Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kweli kumlaumu na kumkejeli Kenya kwa maambukizi ya Corona??
 
Back
Top Bottom