Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Kwa hili bandiko lako ,weye mpumbavu mkuu....mkuu wa manyambafu!Score board
Kenya 184, 7deaths
Bongo 25, 1death
Hahahaha, hahahaha, hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili bandiko lako ,weye mpumbavu mkuu....mkuu wa manyambafu!Score board
Kenya 184, 7deaths
Bongo 25, 1death
Hahahaha, hahahaha, hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sababu wewe nimjuaji hebu tueleze muongozo wa WHO on what we call assymptomatic patients ambao hawaonyeshi dalili lakini wako na virus .Sio kweli kwamba Kenya inafuata muongozo wa WHO, wala WHO haisemi kwamba " contacts tracing" inahusisha upimaji.
Lengo la kupima watu wenye dalili pekee ni ili kupunguza gharama za upimaji, na kupunguza mzigo wa kazi kwa Taifa.
Muongozo wa WHO unasema kwamba, kila mtu mwenye kutiliwa mashaka kama hajaonyesha dalili, anapaswa kuwekwa chini ya uangalizi/karantini kwa siku zisizopungua 14, kama ndani ya kipindi hicho ataonyesha dalili yoyote, ndia apimwe, ila kama hana dalili, hapaswi kupimwa.
Watu wote waliopatikana katika zoezi la Contacts tracing' wanapaswa kuwekwa chini ya uangalizi kwa siku 14, sio kuwapima kama mnavyofanya ninyi, wale tu watakaoonyesha dalili ndio wapimwe.
Haiwezikani hata kidogo mpime zaidi ya watu 5000 wenye kuonyesha dalili, lakini wenye virusi wapatikane 184, labda kama hizo dalili hamzijui ndio sababu mnapata wengi hawana maambukizi pamoja na kuonyesha dalili.
Ninyi mnapima kila " Contact " na kila mtu ambayo yupo katika karantini, huo sio muongozo wa WHO, huo ni ninyi kwa kukurupuka kwenu mumeamua kufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba Kenya inafuata muongozo wa WHO, wala WHO haisemi kwamba " contacts tracing" inahusisha upimaji.
Lengo la kupima watu wenye dalili pekee ni ili kupunguza gharama za upimaji, na kupunguza mzigo wa kazi kwa Taifa.
Muongozo wa WHO unasema kwamba, kila mtu mwenye kutiliwa mashaka kama hajaonyesha dalili, anapaswa kuwekwa chini ya uangalizi/karantini kwa siku zisizopungua 14, kama ndani ya kipindi hicho ataonyesha dalili yoyote, ndia apimwe, ila kama hana dalili, hapaswi kupimwa.
Watu wote waliopatikana katika zoezi la Contacts tracing' wanapaswa kuwekwa chini ya uangalizi kwa siku 14, sio kuwapima kama mnavyofanya ninyi, wale tu watakaoonyesha dalili ndio wapimwe.
Haiwezikani hata kidogo mpime zaidi ya watu 5000 wenye kuonyesha dalili, lakini wenye virusi wapatikane 184, labda kama hizo dalili hamzijui ndio sababu mnapata wengi hawana maambukizi pamoja na kuonyesha dalili.
Ninyi mnapima kila " Contact " na kila mtu ambayo yupo katika karantini, huo sio muongozo wa WHO, huo ni ninyi kwa kukurupuka kwenu mumeamua kufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ninamshinda mama yako kwa upumbavu.Kwa hili bandiko lako ,weye mpumbavu mkuu....mkuu wa manyambafu!
Tupe scoreboard mkuu acha kuwatusi wazazi.
Lete muongozo wa WHO unaoelekeza nani wa kufanyiwa test, WHO ina muongozo wake ambao umeeleza vizuri, utafute usome utaelewa zaidi.
Score board readsTupe scoreboard mkuu acha kuwatusi wazazi.
Na badala ya kupayuka si utueleze juu inakaa ulisha usoma?Lete muongozo wa WHO unaoelekeza nani wa kufanyiwa test, WHO ina muongozo wake ambao umeeleza vizuri, utafute usome utaelewa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji205]Iam tonyWewe ndiye Mtanzania wa kwanza anayeongea sense hapa JF
Soma post #60Na badala ya kupayuka si utueleze juu inakaa ulisha usoma?
Hili tatizo sio la kuliletea dhihaka mkuuWakenya wataanza kujisifu eti wanaongoza kwa maambukizi Afrika Mashariki (wameshika namba moja). Hawa jamaa sijui wakoje yaani.
Huna akili weweScore board
Kenya 184, 7deaths
Bongo 25, 1death
Hahahaha, hahahaha, hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhihaka gani?Hili tatizo sio la kuliletea dhihaka mkuu
KDF hawana tofauti na mgambo tu,walijaza vifaru eneo lote lile la parking ya mallKenyans are always careless.
1.wale magaidi walipovamia Mall. Wanajeshi walipoingia ndani wakaanza kuiba simu, biskuti etc kwenye supamaketi.
Tanzania imepima watu chini ya elfu kwahivyo hata msiongee kitu ikija kwa vita didhi ya corona. Tena isitoshe, mmeficha idadi kamili ya watu mliopima,hii inaonyesha mbali na kuwa hamjapima watu wengi, kuna uwezekano hata wale mliopima hamsemi ukweli manake sioni sababu yeyote ya kuficha idadi ya watu mliopimaUganda juzi walipima watu 231 kwa siku na hawakupata hata mtu mmoja mwenye virusi, siku hiyo hiyo Kenya ilipima watu 210 na ilipata watu 7 wenye vizuri. Kenya ni wazembe sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuonyeshe hivyo vifaru kama unajua hata kifaru ni niniKDF hawana tofauti na mgambo tu,walijaza vifaru eneo lote lile la parking ya mall