Corona: Waganda washitushwa na kasi ya maambukizi ya Kenya, washauriana kutotembelea Kenya

kwa sababu wewe nimjuaji hebu tueleze muongozo wa WHO on what we call assymptomatic patients ambao hawaonyeshi dalili lakini wako na virus .
Ukijibu utakuwa umetusaidia sana.
 
 
Kama kila siku mtatangaza watano ndani ya siku ishirini mtakuwa na wagonjwa 100 mkitumia mfumo wa kupima watu wote kwa siku mtapata wagonjwa 100 ndani ya siku ishirini mtakuwa na wagonjwa 20,000 sijui kama mtapata pa kuwaweka.
Ila tumaini letu ni Mungu atatushindia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyans are always careless.

1.wale magaidi walipovamia Mall. Wanajeshi walipoingia ndani wakaanza kuiba simu, biskuti etc kwenye supamaketi.
KDF hawana tofauti na mgambo tu,walijaza vifaru eneo lote lile la parking ya mall
 
Uganda juzi walipima watu 231 kwa siku na hawakupata hata mtu mmoja mwenye virusi, siku hiyo hiyo Kenya ilipima watu 210 na ilipata watu 7 wenye vizuri. Kenya ni wazembe sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania imepima watu chini ya elfu kwahivyo hata msiongee kitu ikija kwa vita didhi ya corona. Tena isitoshe, mmeficha idadi kamili ya watu mliopima,hii inaonyesha mbali na kuwa hamjapima watu wengi, kuna uwezekano hata wale mliopima hamsemi ukweli manake sioni sababu yeyote ya kuficha idadi ya watu mliopima









Ukiangalia takwimu za idadi ya waliopimwa hapa Eastern Africa, Kenya ndo imepima wengi zaidi kuliko nchi nyengine ikiwa imepima sampuli 6,192, kati ya 6,192 ni wagonjwa 192 ndo walipatikana na corona..... Ni Djibouti tu ndo inaikaribia Kenya kwa kupima ikiwa imepima sampuli 4,017 na kati ya hao ni 187 ndo wako na corona.





Na ukiangalia takwimu za nchi zengine ambazo zimepima sampuli kati ya 5,000 na 7,000 kama vile Kenya, utaona ushahidi vile kesi zao za walio na corona ni zaidi ya angalau 150... Hii inadhahirisha vile kadri unavyopima wengi ndivyo uko na nafasi za kugundua walio positive ni wengi.... offcourse una exeptions kadhaa lakini chache tu ambapo utakuta hawajapima watu wengi lakini wako na +ve nyingi za corona, lakini kwa majority hali inaenda kwa hio ratio ya walio positive inaendana na idadi ya sampuli zilizopimwa






Hata huko ulimwenguni, Nchi zilizopima watu wengi zaidi kama marekani na Italy ndo ziko na idadi nyingi ya walio positive, kuna exeptions kadhaa tu kama russia na UAE... lakini hao wengine wanafwata hio graph ya ratio ya waliopimwa na walio positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…