johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni wapi Dar kumefurika hivi Sasa?Wacha kushabikia upumbavu wa Nairobi! Unajua shida ya maji iliyopo Nairobi mpaka ushabikie approach zao? Try to use ur common sense tafadhali!
Kwahivyo siku za kawaida daladala zenu huwa zinabeba abiria wengi kupitiliza kwasababu Dar kuna maji. Huku matatu za Nairobi zikilazimika kubeba idadi ya abiria inayofaa kwasababu Nairobi hakuna maji kama unavodai au ndio unajaribu kumaanisha nini?Wacha kushabikia upumbavu wa Nairobi! Unajua shida ya maji iliyopo Nairobi mpaka ushabikie approach zao? Try to use ur common sense tafadhali!
level seat umeambiwa sasa nyie mmefanya 60% kitu ambacho naelewa risk ni kubwa as hamna maji Nairobi!Kwahivyo siku za kawaida daladala zenu huwa zinabeba abiria wengi kupitiliza kwasababu Dar kuna maji. Huku matatu za Nairobi zikilazimika kubeba idadi ya abiria inayofaa kwasababu Nairobi hakuna maji kama unavodai au ndio unajaribu kumaanisha nini?
Hivi karibuni kutakuwa na 'total lockdown', najarajia ikifika siku hiyo utasema kwamba ni kwasababu Kenya hakuna umeme.level seat umeambiwa sasa nyie mmefanya 60% kitu ambacho naelewa risk ni kubwa as hamna maji Nairobi!