Tukianza kuwaiga watanzania tutabaki nyuma kiuchumi. Ndio maana hatuwezi kuwaiga hata kidogo.Muhimu ni nyie kujijua kwamba hamna akili, ili next time msubiri kile Tanzania tutakachofanya ili muige, punguzeni mikurupuko.
Wakenya hawana akili kabisaa Yani kama wakijaribu tu kuwatimua wazungu bc Kenya inakua nchi masini kabisa kuliko Sudan
Ni wachache Sana ila ndio wenye mitaji mikubwa biashara kubwa kubwa Kenya au kampuni gani kubwa inamilikiwa na mkenya NairobiHao wazungu unaoongelea wako upande gani wa Kenya na idadi yao ni ngapi?
Msije sema sikuwaambieni wakenya, Kenya inakwenda kudondoka very soon licha ya mzungu kuibeka kwa bidii.Breaking news za Kenya huletwa na Watz na tukisema Kenya ni Baba lao wananuna.
Hao wata fungua na kile korona itakifanya Kenya watalazimika kufunga tena kwa kutumia kdf na risasi za moto polisi Kenya jiandaeni kuua wakenya after second true lockdown inayo kuja Kenya ,wakenya [emoji16][emoji16]Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
Kwanza msambaze umeme kijijini Dar. Kila siku tunasema umeme wa mgao ndio kawaida Dar kumbe hata Kuna sehemu nyingi hazina umeme. 😂😂😂😊Msije sema sikuwaambieni wakenya, Kenya inakwenda kudondoka very soon licha ya mzungu kuibeka kwa bidii. Sasa korona inakwenda kuwamalizeni hadi sasa habari ya chini ya kapeti zinasema wagpnjwa waliokufa kwa kovidi Kenya wamefika 473 sasa mnataka kufungua nchi wakati ambao hospital zenu.
Zimeshaelemewa????!!
Kwanza msambaze umeme kijijini Dar...Kila siku tunasema umeme wa mgao ndio kawaida Dar kumbe hata Kuna sehemu nyingi hazina umeme. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
Usambazaji umeme Bomba Mbili bado ni kizungumkuti
Bwahahaaa!!!ya nn utumie nguvu nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Puppet hana guts za kumkoromoe Master wake, Kenyans you have proved beyond doubt that freedom of choice is yet to be obliged to you, still searching for independence.Curfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?Ni wachache Sana ila ndio wenye mitaji mikubwa biashara kubwa kubwa Kenya au kampuni gani kubwa inamilikiwa na mkenya Nairobi
Mimi nataka blandi moja tu kubwa ya mkenya eg: AZAMUsijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?..
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?..Ni wachache Sana ila ndio wenye mitaji mikubwa biashara kubwa kubwa Kenya au kampuni gani kubwa inamilikiwa na mkenya Nairobi
Umeanza kurukaruka, makampuni ya wakenya halisi ni mingi tuu nitakutajia. Lakini kabla hapo nijibu swali langu mwanzo. Taja hayo makampuni ya wazungu?. Prove your claims!?Mimi nataka blandi moja tu kubwa ya mkenya eg: AZAM
Kama yapo mengi taja moja acha blabla dogo Mimi sitaki mengi nataka moja linalomilikiwa na mkenya lenye bland kubwaUsijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?
Umeanza kurukaruka, makampuni ya wakenya halisi ni mingi tuu nitakutajia. Lakini kabla hapo nijibu swali langu mwanzo. Taja hayo makampuni ya wazungu? Prove your claims!?
Jamaa ana ubishi wa kitoto sana.Mimi nataka blandi moja tu kubwa ya mkenya eg: AZAM
Kama yapo mengi taja moja acha blabla dogo Mimi sitaki mengi nataka moja linalomilikiwa na mkenya lenye bland kubwa
Hahahaha Yani jamaa ishu ndoogo anaifanya iwe kubwaJamaa ana ubishi wa kitoto sana.
Wacha maneno, ninyi ndio mnajisifu kwamba International co. Zimejaa hapo Nairobi, Kumbuka kwamba Cocacola pekee ni sawa na makampuni 50 ya wakenya wa kawaida. Mashamba ya chai, mashamba ya mananasi ya Del motte, mashamba ya Maua, karibu asilimia kubwa ni wazungu.Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?..