Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Wewe ndio ulileta madai yasiyo na Ukweli. Hauja yadhibitisha unaanza kuuliza maswali. The burden of proof is on your side!..
Ndio maana nkakwambia hakuna wapo wengi ila wakawaida tu saizi ya reizer lakini wale wakutisha kama Bakhessa ,Mo hakuna ndio maana unazunguka unarudi hapo hapo . Bc ukweli ushajulikana tufunge mjadala.
 
U
Ndio maana nkakwambia hakuna wapo wengi ila wakawaida tu saizi ya reizer lakini wale wakutisha kama Bakhessa ,Mo hakuna ndio maana unazunguka unarudi hapo hapo . Bc ukweli ushajulikana tufunge mjadala
Unajua Safaricom, equity, brookeside, KBL, kcb. Hizo ni za wazungu?..
 
Halafu hizi ni asilimia ngapi ya kampuni zilizo Kenya?
 
Halafu hizi ni asilimia ngapi ya kampuni zilizo Kenya?..
Hatuzungumzii % interms of number, tunazungumzia interms of capital invested. Makampuni ya kigeni na yale ambayo wageni wanamiliki shares hapo Kenya ni zaidi ya 60% ya invested capital ya makampuni yote hapo Kenya.
 
Kutoa percentages bila genuine info as back up ni zero work!
 
Puppet hana guts za kumkoromoe Master wake, Kenyans you have proved beyond doubt that freedom of choice is yet to be obliged to you, still searching for independence.
Mngekuwa huru hamngechukua mikopo kwa mabeberu.
 
Hatuzungumzii % interms of number, tunazungumzia interms of capital invested. Makampuni ya kigeni na yale ambayo wageni wanamiliki shares hapo Kenya ni zaidi ya 60% ya invested capital ya makampuni yote hapo Kenya.
Evidence?
 
Evidence?
Onyesheni kampuni za wakenya 100% zenye kuongoza hapo Kenya kubwa kama ilivyo MTL ya Mo: Azam(Bakhressa), IPP( Reginald Mengi), ambao wote hawa ni watanzania 100%, hamna hata "share" moja ya Muzungu
 
Wakenya maji yako shingoni sasa hivi hali mbaya. Utafikiri yale mapigo ya Wamisri poleni sana.
Tena wameanza kuweweseka kusikia Tanzania imeingia uchumi wa kati wakati wao walipojifungia ndani ili kuwafurahisha wazungu.
 
U
Unajua Safaricom, equity, brookeside, KBL, KCB. Hizo ni za wazungu?..
Ahaa sasa nami uoni nimejifunza kitu, kumbe Safaricom kampuni ya Mkenya ee? Ya Mkenya au kuna mkenya ana kipande cha hisa.
 
Ahaa sasa nami uoni nimejifunza kitu, kumbe Safaricom kampuni ya Mkenya ee? Ya Mkenya au kuna mkenya ana kipande cha hisa.
Yes the biggest shareholder and supported by Kenya no dependency from outside
 
Onyesheni kampuni za wakenya 100% zenye kuongoza hapo Kenya kubwa kama ilivyo MTL ya Mo: Azam(Bakhressa), IPP( Reginald Mengi), ambao wote hawa ni watanzania 100%, hamna hata "share" moja ya Muzungu
Ushahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…