Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Ndio maana nkakwambia hakuna wapo wengi ila wakawaida tu saizi ya reizer lakini wale wakutisha kama Bakhessa ,Mo hakuna ndio maana unazunguka unarudi hapo hapo . Bc ukweli ushajulikana tufunge mjadala.Wewe ndio ulileta madai yasiyo na Ukweli. Hauja yadhibitisha unaanza kuuliza maswali. The burden of proof is on your side!..