Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Wakuu

Kama wasanii hawana uelewa juu ya corona vipi mwananchi wa kawaida huko kijijini?

Kama msanii analeta mzaha kwa kuvaa sidiria tena anaigeuza mask unadhani hapo kweli kama nchi tuna wasanii au vituko?

Wengi wa hawa wasanii nilichogundua wako nyuma ya wakati na wengi wao hawazielewi hata tips za ugonjwa wenyewe.

Ni rahisi kumtumia vyovyote utakavyo msanii wa Tanzania kwa sababu wengi wao hawajielewi naanza kuamini maneno ya Mbunge Msigwa kuwa hawa jamaa hawana impact yoyote kwenye jamii na kama wana wafuasi kwa akili zao basi wafuasi wao wana hali mbaya kifikra.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio maana wanaitwa mabumunda unaona hata kuelimisha mask ivaliwe wapi hayaelewi yapo yapo tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanamajina tu ila hawana hela,umaarufu na pesa ni vitu viwili tofauti,wakienda kuzikwa kwao ndo utajua wanahali gani za kiuchumi ni makabwela kama mm tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanamajina tu ila hawana hela,umaarufu na pesa ni vitu viwili tofauti,wakienda kuzikwa kwao ndo utajua wanahali gani za kiuchumi ni makabwela kama mm tu,

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi hata waelimishe kwa usahihi tips juu ya corona sio kutafuta trending zisizo na msingi na kuleta mzaha kwenye issue za maana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MWANA FA ni kichaa, kujua mahesabu si kujua maisha, huyu hajielewi na leo UMMY AWAAMBIE HAO WASANII WATOE MAPICHA YAO YA UPOTOFU, eti watu wavae mask wakati hawaumwi, shithole musicians

Hata hesabu atakuwa hujui.. Wana mahesabu huwa hatupanic, huwa tuna base sana kwenye Logic


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama Dr. Kigwangala, moja ya washauri wa Rais aliwaona wa maana, wewe ni nani uwakosoe?
 
Watu wa mikoani ndio mashabiki wakubwa wa hawa wasanii lakini sisi tunao roll nao mjini nawaona wapuuzi tu.


Kama Huyo gigy money anajiuza elements kila siku Ni hela yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama serikari tu imekaa kisanii una expect nini

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Back
Top Bottom