joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania na Burundi zilizoamua kudhibiti watu wanaoingia nchini mwao, zinaonyesha mafanikio makubwa sana katika kudhibiti maambukizi katika hatua za awali kabisa, tukiendelea hivi baada ya mwezi mmoja toka sasa tunaweza tusiwe na mtu hata mmoja mwenye maambukizi, bila kuzuia watu kufanya shughuli zao au kupoteza gharama kubwa katika upimaji wa watu wengi.
Nimependa hatua zinazochukuliwa mipakani
Mimi huwa ninawashangaa sana wakenya, zaidi ya kupima na kutangaza matokeo kila siku, sioni hatua zozote za dhati zinazochukuliwa na serikali yao katika kupunguza maambukizi. Hivi kwanini hadi sasa watu wanaruhusiwa kuingia na kutoka Nairobi?, kwa idadi ya maambukizi yalivyo, Nairobi ilitakiwa sasa hivi iwe imejitenga na mikoa mingine yote kwa kuanzia.Hii nimeiona kigoma wao sio tu unatoka inchi jirani hata kama unatoka mkoa mwingine,tulikuta beria tukashushwa wote tukapimwa bahati wote tukawa safi,ila tukahimizwa sana kufuata maelekezo ya serikali.
You started very well . Lakini Kama kawaida yako uko very obsessed na Kenya.Huko Kenya, POLISI waendelea kusababisha vifo kwa kuwapiga raia wanaopatikana baada ya muda wa 'curfew' kuisha.
Man dies following police beating
Sent using Jamii Forums mobile app
Now where are Kenyans involved from the Title of Your thread.?Mimi huwa ninawashangaa sana wakenya, zaidi ya kupima na kutangaza matokeo kila siku, sioni hatua zozote za dhati zinazochukuliwa na serikali yao katika kupunguza maambukizi. Hivi kwanini hadi sasa watu wanaruhusiwa kuingia na kutoka Nairobi?, kwa idadi ya maambukizi yalivyo, Nairobi ilitakiwa sasa hivi iwe imejitenga na mikoa mingine yote kwa kuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa sana huu ushirikiano wa Tanzania na Burundi kwenye kukabiliana na Corona, Burundi imefunga uingiaji ya magari yote ya mizigo na abiria kuingia Burundi isipokua ya Tanzania tu, sababu Tanzania ndio inailisha sasa ukisema sisi tuende total shutdown unaweza kuona nchi zitakavyotesekaTanzania na Burundi zilizoamua kudhibiti watu wanaoingia nchini mwao, zinaonyesha mafanikio makubwa sana katika kudhibiti maambukizi katika hatua za awali kabisa, tukiendelea hivi baada ya mwezi mmoja toka sasa tunaweza tusiwe na mtu hata mmoja mwenye maambukizi, bila kuzuia watu kufanya shughuli zao au kupoteza gharama kubwa katika upimaji wa watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watu 91 sio 84https://www.facebook.com/Hii ndio siri kubwa ya mafanikio ya Tanzania kupunguza kasi ya maambukizi, kuwa makini katika kudhibiti watu wanaoingia nchini kwa kuwaweka chini ya karantini, kufuatilia 'contacts' kwa umakini mkubwa za wote watakaogundulika na maambukizi.
Tanzania hoyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya c hawana Ile kitu inayokaaga kichani Ile ,Mana unasuia mutu iditoke nje ili isife harafu wewe mutu hiyohiyo unaia hiiiii?!!! Kwerii wasemaga kilamutu na sake.Huko Kenya, POLISI waendelea kusababisha vifo kwa kuwapiga raia wanaopatikana baada ya muda wa 'curfew' kuisha.
Man dies following police beating
Sent using Jamii Forums mobile app
He Eats Kenya, Drinks Kenya, sleeps Kenya and shits Kenya.Now where are Kenyans involved from the Title of Your thread.?