Corona; Watu 84 kutoka Afrika Kusini kuja Tanzania, wazuiliwa mpakani na kuwekwa chini ya karantini kwa siku 14

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hii ndio siri kubwa ya mafanikio ya Tanzania kupunguza kasi ya maambukizi, kuwa makini katika kudhibiti watu wanaoingia nchini kwa kuwaweka chini ya karantini, kufuatilia 'contacts' kwa umakini mkubwa za wote watakaogundulika na maambukizi.
Tanzania hoyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa hatua zinazochukuliwa mipakani
Tanzania na Burundi zilizoamua kudhibiti watu wanaoingia nchini mwao, zinaonyesha mafanikio makubwa sana katika kudhibiti maambukizi katika hatua za awali kabisa, tukiendelea hivi baada ya mwezi mmoja toka sasa tunaweza tusiwe na mtu hata mmoja mwenye maambukizi, bila kuzuia watu kufanya shughuli zao au kupoteza gharama kubwa katika upimaji wa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeiona kigoma wao sio tu unatoka inchi jirani hata kama unatoka mkoa mwingine,tulikuta beria tukashushwa wote tukapimwa bahati wote tukawa safi,ila tukahimizwa sana kufuata maelekezo ya serikali.
 
Mimi huwa ninawashangaa sana wakenya, zaidi ya kupima na kutangaza matokeo kila siku, sioni hatua zozote za dhati zinazochukuliwa na serikali yao katika kupunguza maambukizi. Hivi kwanini hadi sasa watu wanaruhusiwa kuingia na kutoka Nairobi?, kwa idadi ya maambukizi yalivyo, Nairobi ilitakiwa sasa hivi iwe imejitenga na mikoa mingine yote kwa kuanzia.

Now where are Kenyans involved from the Title of Your thread.?
 
Tanzania na Burundi zilizoamua kudhibiti watu wanaoingia nchini mwao, zinaonyesha mafanikio makubwa sana katika kudhibiti maambukizi katika hatua za awali kabisa, tukiendelea hivi baada ya mwezi mmoja toka sasa tunaweza tusiwe na mtu hata mmoja mwenye maambukizi, bila kuzuia watu kufanya shughuli zao au kupoteza gharama kubwa katika upimaji wa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa sana huu ushirikiano wa Tanzania na Burundi kwenye kukabiliana na Corona, Burundi imefunga uingiaji ya magari yote ya mizigo na abiria kuingia Burundi isipokua ya Tanzania tu, sababu Tanzania ndio inailisha sasa ukisema sisi tuende total shutdown unaweza kuona nchi zitakavyoteseka

Upulizaji wa dawa katika jiji la Dar es Salaam, ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayopunguza virusi kuenea. Familia zote zenye ndugu waliogundulika na virusi vya Corona, nyumba na makazi yao hupuliziwa dawa kila baada ya siku mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom