Corona: Zanzibar yapiga marufuku mikutano ya waandishi wa habari

Corona: Zanzibar yapiga marufuku mikutano ya waandishi wa habari

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa.

Source: Clouds tv
 
Itabidi na maeneo mengine kama kwenye nyumba za ibada wafanye hivyo, japo najua kufanya hivyo itakuwa sawa na wao kumuogopa shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBCCM imetoa mfano kila mtu atulie kwake kwa sasa.
 
"Sisi bara hatutishiki na hako kaugojwa ka mafua kanakowaathiri sana wazungu tunawe mikono tuchape kazi kwerikweri" Lumumba chairperson
 
Back
Top Bottom