J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Apr 13, 2020 #1 Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa. Source: Clouds tv
Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa. Source: Clouds tv
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Apr 13, 2020 #2 Hilo zuio ni baada ya kujifunza kutoka TBCCM. Safi Sana wazanzibar Kwa kuliona Hilo la waandishi wa habari kudondoka kama kuku
Hilo zuio ni baada ya kujifunza kutoka TBCCM. Safi Sana wazanzibar Kwa kuliona Hilo la waandishi wa habari kudondoka kama kuku
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Apr 13, 2020 #3 Itabidi na maeneo mengine kama kwenye nyumba za ibada wafanye hivyo, japo najua kufanya hivyo itakuwa sawa na wao kumuogopa shetani. Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi na maeneo mengine kama kwenye nyumba za ibada wafanye hivyo, japo najua kufanya hivyo itakuwa sawa na wao kumuogopa shetani. Sent using Jamii Forums mobile app
Trillion JF-Expert Member Joined Apr 24, 2018 Posts 3,330 Reaction score 7,494 Apr 13, 2020 #4 TBCCM imetoa mfano kila mtu atulie kwake kwa sasa.
Dickson Edwin Mgaya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 513 Reaction score 1,422 Apr 13, 2020 #5 "Sisi bara hatutishiki na hako kaugojwa ka mafua kanakowaathiri sana wazungu tunawe mikono tuchape kazi kwerikweri" Lumumba chairperson
"Sisi bara hatutishiki na hako kaugojwa ka mafua kanakowaathiri sana wazungu tunawe mikono tuchape kazi kwerikweri" Lumumba chairperson
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Apr 13, 2020 #6 Trillion said: TBCCM imetoa mfano kila mtu atulie kwake kwa sasa. Click to expand... Mkuu ni kimetokea kwa TBCCM? nimepitwa kidogo wakuu naomba kujua
Trillion said: TBCCM imetoa mfano kila mtu atulie kwake kwa sasa. Click to expand... Mkuu ni kimetokea kwa TBCCM? nimepitwa kidogo wakuu naomba kujua