Coronavirus: Familia ya Mwanasiasa Mkongwe yapukutika

Poleni sana ndugu zetu Wakenya.

Mungu ni mwema mkimtumainia
 
Pole sn kwa familia...... Jamaa yetu asingeenda Keza mbochi angwdedi km nkurunzinza
 
Kenyans wanajifungia ndani bado kipigo kipo palepale hakuna tofauti na amabye hajajifungia. So bora muendelee na shughuli za kimaisha na kufurahia uwepo wenu hapa duniani
 
Huwezi kushinda na kwa kuja na figure za walio test positive

Lazima kuwe pia na DEATH na Recovered. Wavumilie tu kwa Mass testing
 
Sasa mbona mlitucheka tulipokua tunahimiza matumizi ya Limau na Tangawizi mkatuita Kinjekitile Ngwale, sasa hivi mumeamua kutumia dawa hizo hizo mlizotucheka?
Kwan wewe ulianza kutumia limau na tangawizi juzi ulipokua chato..

Kwanza we wawapi vile, labda huenda nabishana na mtu ambae sehemu yupo hvyo vitu kwake kuvitumia mpka apande basi
 
Jibu swali, kwanini Magufuli alipohamasisha matumizi ya Limao na Tangawizi kama tiba ya Corona mlinuita Kinjekitile lakini sasa hivi mnatumia Limao kama tiba ya Corona?
 
Hehehe!!we wa wapi jomba? Emu nijibu kwanza basi..manake duh!!umefanya limau na tangawizi km vile ilikua havikuwepo na wala havitumiki..

Anyway, naelewa kuna watu hvyo vitu kule kwao mwiko[emoji23][emoji23]
 
Hamna akili ninyi, Magufuli aliposema tutumie njia zetu za asili kwa kutumia Limao na Tangawizi kutibu Corona, mlimcheka, sasa baada ya mabwana zenu wazungu kushindwa kupata dawa, mumeamua kutumia dawa ile ile ya Magufuli kujikinga na Corona. Ninyi kweli ni Failed state.
 
Mhhh nadhani huu ugonjwa ni tabia. The more lockdowns the more deadly. Utakua unaathiriwa sana na dharau yani ukiudharau unakimbia maaana huku kwetu tumeudharau mazimaaa.
 
Dada Kenya ni nchi ya ajabu sana na nchi ya hovyo Sana, hata huwezi kueleza kuhusu hiyo nchi, mbona Uganda na Rwanda wanafanya vizuri na hizo knockdown japo hafadhali?.

Kenya ni shida sio Corona pekee, Rwanda walikua na ukabila zaidi ya Kenya, lakini wamefanikiwa kuudhibiti, Uganda walikua na insecurity kule kaskazini zaidi ya Kenya, lakini wamefanikiwa kudhibiti, Ethiopia walikua na njaa kuliko Kenya, leo hii Ethiopia inaiuzia Kenya mahindi. Kenya ni nchi ya hovyo kupata kutokea hapa Africa.
 
Hamna akili ninyi, Magufuli aliposema tutumie njia zetu za asili kwa kutumia Limao na Tangawizi kutibu Corona, mlimcheka, sasa baada ya mabwana zenu wazungu kushindwa kupata dawa, mumeamua kutumia dawa ile ile ya Magufuli kujikinga na Corona. Ninyi kweli ni Failed state.
Hehehe!!bado una force ili uonekane km malimao na tangawizi amevumbua magu kuliwa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom