Coronavirus: Familia ya Mwanasiasa Mkongwe yapukutika

Coronavirus: Familia ya Mwanasiasa Mkongwe yapukutika

Hehehe!!bado una force ili uonekane km malimao na tangawizi amevumbua magu kuliwa[emoji23][emoji23]
Limao kama dawa ya Corona aliyeanzisha ni Magufuli. Kumbuka hapo Kenya hamuiti tena Limao na Tangawizi, mnaita "dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Limao kama dawa ya Corona aliyeanzisha ni Magufuli. Kumbuka hapo Kenya hamuiti tena Limao na Tangawizi, mnaita "dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeanza kujitoa ufahamu sasa[emoji23][emoji23]
 
Naona umeanza kujitoa ufahamu sasa[emoji23][emoji23]
Wenye kuita Limao na Tangawizi kwamba ni dawa ya Corona, lakini miezi kadhaa nyuma waliita ni Kinjekitile ndio ambao fahamu zimeanza kuwaruduia baada ya Corona kuwatia adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa za kinjekitile zinajulikana[emoji23][emoji23]
Eti unakunywa ndio risasi isipenye
 
tunapima maiti ili kugundua nini!!!!

corona au kama alikuwa akitumia limao??

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Huku ukifa unapimwa[emoji23][emoji23]alafu tuna enedeleza hesabu, unafikiria na sisi tukitaka tusipime maiti kwn nikitu kikubwa.
Si mtu anakufa tu na anazikwa then dunia itutambue km corona kwetu haiui
 
Hehehe!!bado una force ili uonekane km malimao na tangawizi amevumbua magu kuliwa[emoji23][emoji23]
Ivi vicheko ni vya kike au ni jinsia ile pendwa kwa kunya.mnanikela pamoja na uyo..meddie kagere jezi namba 254.
 
ukweli hali ni mbaya nilipita Namanga na jana nilikuwa na daktari mmoja alikuwa kwenye kikao kimoja cha tafakari ya huu ugonjwa afrika mashariki madaktari wanakiri kuwa hali kwetu ni nzuri ukilinganisha na kwao.
ni kweli tunahitaji kuwaombea kwa kuwa tunahitajiana sana.
poleni wakenya.
 
Kuna mtia nia mmoja kule Kilimanjaro alisema akichaguliwa atajenga ukuta kuziba mlima Kilimanjaro hao panya buku wasiuone, sijui kama alifanikiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilimuelewa sana yani. Piga Nyundo kabisa hao.
FB_IMG_1597462485160.jpg
IMG_20200831_071926_022.jpg
IMG_20200830_142011.jpg
 
Back
Top Bottom