Coronavirus found in men's semen

Hallelujah hossana!.
Ahahahahaaa....

Hii naipenda sana sana hii, angalau wanatupata kwa njia mojawapo sasa.
 
Haya sasa.

Unavaa barakoa
Unanawa kwa sabuni na maji tiririka
Unapaka sanitizer

Unarudi jioni home tayari kwa kikimo cha watoto unaibuka na mdudu corona[emoji4]

Huu mwaka kazi ipo.
Si unaona,kumbe we ni mtundu hivi[emoji87][emoji87]
 
Write your reply...covid19 ni man made mbadala wa Hiv /aids,
 

Naona hawa wachina hiyo maabara yao inataka kupunguza idadi ya watu duniani ina maana watu hawatazaliana sasa hatari
 
Hapa Chadema na washinda mitandaoni wenzao aka nyumbu watamuunga mkono Magufuli fasta kuhusu vipimo kutokuwa sawa yaani vibovu
 
Hii ndo kiboko ya Wadangaji.. Wanakwambia hawaogopi ngoma.. hata 20 years watasavaivu.. saizi Ni mwendo wa COVID-19 ukichanganya mabinduki tu.. unabanwa mbavu.. unalala mbereee..
 
Hio habari nimeisoma DW nkashtuka sana kuna likely convid ikawa sexually transmitted. Ni hatari sana
 
Virusi vya corona sasa vina uwezo wa kusalia ndani ya mbegu za mwanamume yaani semen’s hata baaada ya kupona, utafiti ambao unasema kuwa huenda sasa virusi hivyo vikawe kusambazwa wakati wapenzi wawili wanaposhitriki ngono. Ni utafiti ambao umefanyiwa na mtafiti mmoja kutoka Uchina na kutoa ripoti hiyo Alhamisi.

Kikundi cha madaktari katika hospitali ya Shangqiu Municipal Hospital iliwafanyia wanaume 38 waliokuwa wameathirika na gonjwa hilo hatari kati ya Januari na Februari na kubaini kuwa mbegu zao zilikuwa ba chembe chembe za virusi hivyo.

Asilimia 16 ya wanaume hao walionyesha chembe chembe za corona kwenye mbegu zao ripoti ambayo wameichapisha kwenye nakala ya JAMAL Network Open.

"We found that SARS-CoV-2 can be present in the semen of patients with COVID-19, and SARS-CoV-2 may still be detected in the semen of recovering patients,” amesema daktari Diangeng Li.

Daktari Li amesema kuwa hata kama virusi hivyo havitakuwa nan uwezo wa kuzaana,huenda vikaathiri viungo vingine vya mwanamume na hata wakati mmoja kumfanya mwilki wake kukosa uwezo wa kukabiliana na virusi hivyo.

"Even if the virus cannot replicate in the male reproductive system, it may persist, possibly resulting from the privileged immunity of testes,” aliongeza Li.

-Shukrani RJ

Study finds coronavirus in semen, but it's unclear if Covid-19 can be sexually transmitted
 
Sasa mtafiti yupi wakuaminika kwa wakati huu,kwa sababu kuna waliotangaza utafiti wao ukapingwa. Sasa mbegu za kiume na Corona tena ugonjwa wa mapafu hapa kuna tatizo inawezekana saa wakichukua sampuli hawakua makini, alisikika daktari mmoja wa kitanzania akisema.
 
Sasa hata mikono kushikana ni shida vipi kujamiina
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wanatafuta kuwanyima watu uroda na kuharibu biashara za wengine

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…