Coronavirus found in men's semen

Utafiti gani umefanyika nchini? Unajua hata maana ya utafiti wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sasa kali! Kisu kimegusa mfupa. Unaambiwa kaa nyumbani, unatii. Muda wote upo na spouse wako, asubuhi, mchana na jioni 24/7 lakini hakuna kugusana achilia mbali kupiga!!!

Kama kukaa nyumbani kunaboa basi hili la kuzuia uroda litafanya pa boe zaidi na mwishowe wengi watasema "potelea mbali acha tuambukizane". Hapana chezea pale kati😂😂😂
 
Kutokana na research inayosambaa kwenye vyombo vya habar kua huko China wanasayans wamethibitisha kuwepo kwa virus kwenye ute wa mwanaume yaani semen,
Tukiwa kama vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa hili tunachukua tahadhar gani kwa sabab ugonjwa upo eneo pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitumbua kimeingia mavi!
 
Hakuna virus inakaa humo,
Hiyo itakua ya kwanza wazee

TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
 

Elezea vizuri mkuu,ute wa mwanaume ni upi?
 
Hata kama yupo kwenye semen sidhani kama ataweza kuwa na mechanism za kutoka kwenye vagina kufika kwenye respiratory system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…