Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Ni hujuma hapana ni hujuma haiwezekani huu ugonjwa sasa umeingia kunako......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti gani umefanyika nchini? Unajua hata maana ya utafiti wewe?Sasa mtafiti yupi wakuaminika kwa wakati huu,kwa sababu kuna waliotangaza utafiti wao ukapingwa. Sasa mbegu za kiume na Corona tena ugonjwa wa mapafu hapa kuna tatizo inawezekana saa wakichukua sampuli hawakua makini,alisikika daktari mmoja wa kitanzania akisema.
Usiwe unahemuka basi mzee, wapi nimetaja kuwa kuna utafiti umefanyika nchini ?Utafiti gani umefanyika nchini? Unajua hata maana ya utafiti wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa, hili walikuwa hawataku tu kulisema tangu mwanzo lakini inawezekana likwa siyo jipa.
Kitumbua kimeingia mavi!Virusi vya corona sasa vina uwezo wa kusalia ndani ya mbegu za mwanamume yaani semen’s hata baaada ya kupona, utafiti ambao unasema kuwa huenda sasa virusi hivyo vikawe kusambazwa wakati wapenzi wawili wanaposhitriki ngono. Ni utafiti ambao umefanyiwa na mtafiti mmoja kutoka Uchina na kutoa ripoti hiyo Alhamisi.
Kikundi cha madaktari katika hospitali ya Shangqiu Municipal Hospital iliwafanyia wanaume 38 waliokuwa wameathirika na gonjwa hilo hatari kati ya Januari na Februari na kubaini kuwa mbegu zao zilikuwa ba chembe chembe za virusi hivyo.
Asilimia 16 ya wanaume hao walionyesha chembe chembe za corona kwenye mbegu zao ripoti ambayo wameichapisha kwenye nakala ya JAMAL Network Open.
"We found that SARS-CoV-2 can be present in the semen of patients with COVID-19, and SARS-CoV-2 may still be detected in the semen of recovering patients,” amesema daktari Diangeng Li.
Daktari Li amesema kuwa hata kama virusi hivyo havitakuwa nan uwezo wa kuzaana,huenda vikaathiri viungo vingine vya mwanamume na hata wakati mmoja kumfanya mwilki wake kukosa uwezo wa kukabiliana na virusi hivyo.
"Even if the virus cannot replicate in the male reproductive system, it may persist, possibly resulting from the privileged immunity of testes,” aliongeza Li.
-Shukrani RJ
Study finds coronavirus in semen, but it's unclear if Covid-19 can be sexually transmitted
Kutokana na research inayosambaa kwenye vyombo vya habar kua huko China wanasayans wamethibitisha kuwepo kwa virus kwenye ute wa mwanaume yaani semen,
Tukiwa kama vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa hili tunachukua tahadhar gani kwa sabab ugonjwa upo eneo pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kutumia condom ndipo watakapofanikisha mission zao. Kwa mfano, ukiitumia leo hisia/hamu ya kurudia tena tendo unaipata baada ya miezi mitatu.Kazi ya Condom ni nini kwani?
Hakuna virus inakaa humo,
Hiyo itakua ya kwanza wazee
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
Shahawa..Elezea vizuri mkuu,ute wa mwanaume ni upi?
Soma vizuri kichwa cha habari, ameweka kwenye mabano (semen). Sidhani kama hili linahitaji ufafanuzi zaidi.Elezea vizuri mkuu,ute wa mwanaume ni upi?