Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa barani Afrika yafikia 134

Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa barani Afrika yafikia 134

Correction.... wanaougua korona afrika ni wazungu. Maambukizi ya wazungu waishio barani afrika yafikia 133, huyo mweusi ni mlevi tu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
.
😂😁😂😁😂
 
Mm nina mafua siku ya 2 leo ila ni alagic ya kuwa nikila vitu vyenye mafuta sana basi chafya na mafua vitajitokeza siku hio, naomba Mungu wasije kuvamia hawa corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise Mimi miezi minne hivi iliyopita niliugua mafua ambayo sijawahi kuugua tangu nizaliwe...Mimi ni mtu mzima...above 50...Nina wasiwasi ile ilikuwa Corona..nadhani kwa kuwa sisi weusi imebainika tuna namna ya resistance nadhani ndiyo maana mafua Yale niliyashinda...niliteseka kwa wiki mbili hivi....tehtehe hahahaha
 
Correction.... wanaougua korona afrika ni wazungu. Maambukizi ya wazungu waishio barani afrika yafikia 133, huyo mweusi ni mlevi tu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
😂😂😂whisky ili pandesha temperature
 
Alishapata mcameroon africast/aka point 5. But akapona siku 2 tu.
Sio kwamba hatuumwagi hiyo kitu..sema haitusumbui
Egypt ni waaarabu ndo wanaumwa
Nigeria ni 2 italians
South ni italians n other whites
Etc

Sent using Jamii Forums mobile app


Ivi mlienda maabara mkagundua cc weusi haituathiri?? Wabongo mnajifanya wajuaji sana kuliko hata wenye elimu zao,,,kama ni hivyo bac hata wazungu, waarabu, wahindi na wachina ebola haiwahusu na ndio tunao hukuhuku Afrima, ila wanaoathiruka ni weusi tu why??,,,ushackia mzungu, mwarabu, mchina ameathirika au kufa kwa ebola au kipindupindu? Ukimwi ni wachache sana ukilinganisha na cc weuc,,Malaria tu ina2dedisha itakuwa Covid!!.,,,ebu acheni ujuaji banaa.
 
Back
Top Bottom