#COVID19 CoronaVirus: India yarekodi maambukizi mapya zaidi ya 300,000 kwa siku ya sita

#COVID19 CoronaVirus: India yarekodi maambukizi mapya zaidi ya 300,000 kwa siku ya sita

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64

Hospitali zimekuwa hazipokei Wagonjwa kutokana na uhaba wa vitanda na Oxygen. Vifo 2,771 vimerekodiwa katika siku moja lakini Wataalamu wa Afya wanaamini idadi ni kubwa zaidi

Aidha, Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema Nchi hiyo itasitisha safari za ndege za moja kwa moja kutoka India hadi Mei 15, 2021

=====

India’s new coronavirus cases have stayed above 300,000 for a sixth consecutive day on Tuesday, while its armed forces pledged urgent medical aid to help battle the staggering spike in infections overwhelming its hospitals and even the crematoriums.

Many countries including the United Kingdom, Germany and the United States have pledged to send urgent medical aid, with the first shipment from the UK arriving early Tuesday.

The World Health Organization chief described the situation in the world’s second-most populous country as “beyond heartbreaking”.

Australia will suspend all direct passenger flights from India until May 15, Prime Minister Scott Morrison said.

Earlier on Tuesday, Queensland state had urged the federal government to halt all flights from India due to the high risk of potential COVID-19 outbreaks from highly contagious virus variants in Australia’s hotel quarantine system.

Over the past 24 hours, India recorded 323,144 new cases, below Monday’s worldwide peak of 352,991, with overrun hospitals continuing to turn away patients due to a shortage of beds and oxygen supplies.

It reported 2,771 new deaths, but health experts believe the tally runs significantly higher.

India’s overall caseload now stands at 17.64 million.

Source: Al Jazeera
 
Hehhh

The only route that ATCL flies..

Twafwaaa....
 
Atcl ilitakiwa wasitishe safari kipindi hiki hiyo wave ya pili ni hatari mno iliwatesa sana SA. Mungu awasaidie kwa kweli huko India maana hilo ni tatizo na ukisikia msaada unaambiwa mitungi ya gesi mia tano kazi tunayo.
 
Hehhh
The only route that ATCL flies..

Twafwaaa....
Serikali yetu iwe nakini sana na tukio hili,mimi sikioni kama nila kawaida hata kidogo - ndoto za Bill Gates zinaweza kuwa zinafanyiwa majaribio India kuangalia how fast new variant inavyo sambaa na kuua - ndio tunaelekea huko kwenye ndoto za kuokota maiti mitaani, yule mama na mumewe sio wehu wanajua walifanyalo - si wa kubeza hata kidogo.

Jiulize swali dogo - Makampuni ya kuzalisha dawa na Chanjo India ndiyo yamepewa kibali na makampuni ya maghararini yaani: Oxford/AstraZeneca kuzalisha chanjo za kovid huko India na kusisambaza kwenye mataifa maskini kwa makubaliano maalumu na makampuni hayo na WHO - swali ni why India of all places, why India ndio hivi sasa inaonekana ugonjwa huu wa kovid-x(sijui variant gani) ndio unaonekana umepamba moto kupindukia - wazungu hawa wana shirikiana na baadhi ya Wahindi wenye akili fyatu kuambukiza watu na virus vilivyo fanyiwa marekebisho ya kimaabara ili viwe vikali zaidi na kusambaa kwa kasi ya kutisha lengo likiwa ni hilo hilo "KUTISHA" ili chanjo za Oxford/Astral/Zenecca zihuzike fasta - washenzi sana.

Narudia kukumbusha Serikali za Dunia ya tatu kwamba tukio la hivi sasa huko India linalenga Kushinikiza mataifa maskini kununua chanjo za Oxford/Astral Zeneca zenye walakini mkubwa tutake tusitake au? Kitu cha kwanza Serikali yetu tukufu ipige marufuku ndege za kwenda na kutoka India na Paskistan nk. Variant hii ikiingia nchini tumekwisha si mchezo hata kidogo.
 
Serikali yetu iwe nakini sana na tukio hili,mimi sikioni kama nila kawaida hata kidogo - ndoto za Bill Gates zinaweza kuwa zinafanyiwa majaribio India kuangalia how fast new variant inavyo sambaa na kuua - ndio tunaelekea huko kwenye ndoto za kuokota maiti mitaani, yule mama na mumewe sio wehu wanajua walifanyalo - si wa kubeza hata kidogo.

Jiulize swali dogo - Makampuni ya kuzalisha dawa na Chanjo India ndiyo yamepewa kibali na makampuni ya maghararini yaani: Oxford/AstraZeneca kuzalisha chanjo za kovid huko India na kusisambaza kwenye mataifa maskini kwa makubaliano maalumu na makampuni hayo na WHO - swali ni why India of all places, why India ndio hivi sasa inaonekana ugonjwa huu wa kovid-x(sijui variant gani) ndio unaonekana umepamba moto kupindukia - wazungu hawa wana shirikiana na baadhi ya Wahindi wenye akili fyatu kuambukiza watu na virus vilivyo fanyiwa marekebisho ya kimaabara ili viwe vikali zaidi na kusambaa kwa kasi ya kutisha lengo likiwa ni hilo hilo "KUTISHA" ili chanjo za Oxford/Astral/Zenecca zihuzike fasta - washenzi sana.

Narudia kukumbusha Serikali za Dunia ya tatu kwamba tukio la hivi sasa huko India linalenga Kushinikiza mataifa maskini kununua chanjo za Oxford/Astral Zeneca zenye walakini mkubwa tutake tusitake au? Kitu cha kwanza Serikali yetu tukufu ipige marufuku ndege za kwenda na kutoka India na Paskistan nk. Variant hii ikiingia nchini tumekwisha si mchezo hata kidogo.
Una mtazamo finyu na wa kipumbavu
 
Una mtazamo finyu na wa kipu.mbavu
Hili ndilo tatizo la binadamu mwenye exposure ndogo - kama wewe unaona tatizo linalo ikabiri India hivi sasa ni suala dogo - basi Mungu akusaidie uwe na uwezo wa kuona beyond your noses.

Hivi kwa akili yako,unafikiri variant ya kovid ambayo imeikumba India siku za karibuni, watu wanakufa manyumbani, barabarani,nje ya vituo vya afya kwa kukosa ventillators na oxygen,wanakosa vitanda vya kulaza wagonjwa!! Kumbuka India ina uwezo wa kiuchumi kuliko Tanzania lakini imelemewa. Je, wewe hilo unaliona au unajisemea tu?

Narudia kukumbusha tena kwamba Taifa letu lifanye juu chini kuhakikisha Covid variant ya India ya hivi sasa haingii hapa kwetu - tukifanya hajisi tutapukutika - my opinion.
 
Hili ndilo tatizo la binadamu mwenye exposure ndogo - kama wewe unaona tatizo linalo ikabiri India hivi sasa ni suala dogo - basi Mungu akusaidie uwe na uwezo wa kuona beyond your noses.

Hivi kwa akili yako,unafikiri variant ya kovid ambayo imeikumba India siku za karibuni, watu wanakufa manyumbani, barabarani,nje ya vituo vya afya kwa kukosa ventillators na oxygen,wanakosa vitanda vya kulaza wagonjwa!! Kumbuka India ina uwezo wa kiuchumi kuliko Tanzania lakini imelemewa!! Je,wewe hilo unaliona au unajisemea tu?

Narudia kukumbusha tena kwamba Taifa letu lifanye juu chini kuhakikisha Covid variant ya India ya hivi sasa haingii hapa kwetu - tukifanya hajisi tutapukutika - my opinion.
Upumbavu wako ni kumuhusisha Bill na ujinga wako. Bill anahusika vipi na hivyo vifo? Una ushahidi?
 
Upumbavu wako ni kumuhusisha Bill na ujinga wako. Bill anahusika vipi na hivyo vifo!!?? Una ushahidi?
Ah, sasa kidogo unaeleweka - kumbe tatizo lako ni mimi kusema husiyo taka kuyasikia kuhusu William Gates na mkewe - hilo tu!!

Mkuu kwani tatizo liko wapi? Fatilia historia ya kweli na yenye ushahidi kuhusu kiumbe huyu na genge lake wenye imani za kishetani za kusingizia Mataifa maskini kwamba ndio wanamaliza mali asili za Dunia,wanadai Dunia hizo za tatu hazichangii chochote cha maana katika nyanja za sayansi na teknojia haziwezi hata kujilisha zenyewe, zinategemea msaada kutoka Marekani na Ulaya - William Gates alikwenda mbali zaidi kwa kushtumu third World Nations especially black race kwamba watu weusi wanacho juwa na kuzaana zaana ovyo bila mpangilio,tunakuwa tegemezi sana kwa Mataifa yaliyo endelea, William Gates na wenzake wenye akili fyatu kama za kwake hawaoni sababu za msingi kuendelea kuwa na race ambayo haichangii chochote kwa maendeleo ya binadamu wenzao Duniani. Hiyo ndio imani ya Bill Gates na baadhi ya mamillionea wenzake wenye mawazo hayo ya ajabu, sasa mwezetu kama na wewe una support imani za wazungu wachache hao - fine.

Usifikiri hapa najaribu kumuonea au kumsema vibaya Willian,tafuta muda fanya utafiti wa kina kuhusu historia yake, siyo ya masuala ya sotfware za operating systems na appplication programms za kampuni ya Microsoft hicho ni cha mtoto ukilinganisha na shughuri za ajabu na kishetani anazo juhusisha nazo miaka ya hivi karibuni - William Gates amebadirika kabisa kutoka kwenye fani zake za masuala ya Computers na Software, sasa kajikita mzima mzima kwenye masuala Molecular Biology, Virology pamoja na GMOs - mambo ambayo hana taaluma yoyote nayo zaidi ya ku-fund Big Western Pharma Companies za kuzalisha madawa na chanjo vile vile ana share kubwa kwenye makampuni hayo makubwa anawalipa mpaka wana sayansi wabobezi na watafiti ana ifluence kubwa mpaka kwenye taasisi mojawapo ya Umoja wa mataifa yaani WHO ndio maana shirika linaonekana kugeuka kuwa dalali wa chanjo zinazo zalishwa na Makampuni ambayo Bill Gates ndiye share holder mkubwa wanataka kutumia majanga ya Corona walio ileta wenyewe wakiwa na lengo la kupiga hela ndefu WHO inawambia nchi masikini eti ziende zichukuwe mkopo World Bank wanunulie chanjo - Dunia za tatu zibebeshwe mzigo wa madeni kumtajirisha Bill Gates na wenzake - hilo la kwanza, lengo la pili la Gates ni la kutekeleza ajenda zake za siri akishirikiana na matajiri wenzake wenye imani kama za kwake - yaani watumie makampuni ya kuzalisha chanjo na madawa yaongezewe virutubisho vya ku-depopulated gracefully baadhi ya Mataifa hapa Duniani ambayo wao wanayachukulia kwamba ni mzigo kwa ustawi wa Dunia, Gates na genge lake wanatelekeze njama hizo bila ya kushtukiwa na Mataifa maskini Duniani ambayo ndiyo yanayo lengwa haswa kwenye mpango mzima - mifano tunayo:kikundi cha Bill Gates ndio ufanya kampein na kugharimia chanjo wanazo dai ni kinga ya kansa ya kizazi (cervical cancer) kwa wasichana wa mashuleni na akina mama kwenye lika ya kutunga mimba, chanjo hiyo baadae ilikuja ghundulika kwamba chanjo za cervical cancer zinazo letwa kwenye third World wanaziongezea virutubisho vya kuhakikisha wasichana na akina mama ambao waliwahi kudungwa chanzo hawatatunga mimba maisha yao yote wanafanywa wagumba kimakusudi - njama hizo ziligunduliwa na wana sayansi wa Ufilipino na Malysia baada ya kutonywa na wana sayansi wenzao wa Ulaya na Marekani,kama nakumbuka vizuri mwaka jana tuliwahi kumsikia hata Rais wetu marehemu JPJM akigusia suala la kuhusu madhara yanayo tokana na kukubali blindly chanjo zinazo gharimiwa na kuletwa na Bill Gates foundation wanazo jitia eti zina uwezo mkubwa wa kudhibiti cervical cancer kwa wanawake na mabinti zetu, kumbe ni ulaghai mtupu lengo likiwa ni kupunguza idadi ya kuzaliani kwenye third World Nations especially in continental Afrika, Bill Gates aliwahi kusambaza chanjo za kile alicho kiita chanjo dhidi ya Polio huko India na Nigeria - sasa fatilia kulifuata nini baada ya watoto kuchanjwa chajo za Polio zilizo letwa na Bill Gates - wangapi walipoteza maisha unneccessarly kwa kuamini ulaghai wa William Gates - Indian ilimfugulia mashtaka Bill Gates, sasa sijui kesi iliishaje - Tajiri hafungwi, he knows how to grease the system.

Sasa tuje kwenye suala nyeti ambalo ni pasua kichwa hivi sasa Duniani nalo ni COVID-19/21/X hakuna ambaye ana uhakika latest ni variant gani ya Kovid mutation notwithstanding - kila mtu anasema la kwake. Sasa nakushauri tumia search engines za mtandaoni tafuta channel ambayo Bill Gates alikuwa anatoa speech kwenye kongamano akitoa onyo kwamba kitakacho angamiza Dunia si mabom ya Nuclear bali ni VIRUSI,aliyasema hayo mwaka 2015, katika presentation yake aliyo kuwa anatumia power point, anauliza: Je,Dunia imejipanga vipi kukabiliana na tisho hilo ambalo litakuwa baya zaidi kuwahi kutokea hapa Duniani,we msililize binadamu wa ajabu huyu! Kwani utabiri wake ulichukuwa muda - hapana, yaani ndani miaka mitano baadae utabiri wake ukaja kuwa wa kweli kabisa!! Kinacho shangaza zaidi Gates alionyesha mpaka muonekano wa kirusi utakavyo fanana na alitamuka wazi wazi mpaka jina la virus alisema vitakuwa ni CORONA!! Cha kujiuliza hapa: kuna aina nyingi za virusi hatarishi hapa Duniani, Bill Gates aliwezaje kutabiri kwa asili mia mia aina ya kirusi kitakacho ikumba Duniani in 5 years time kama si kwamba yeye na genge lake are not part and parcel of this inhumane crime against humanity,nashangaa kwa nini mpaka sasa Bill Gates hajaburuzwa the Hague to face the music.

Narudia tena kuwakumbusha viongozi barani Afrika kwamba msije mkapotoshwa na ever smiling faces za William Gates na mkewe - wenzetu hawa are extremly calcutating couple siwa kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom