Tetesi: Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble

CORONA VIRUS

ITALY: Lockdown

CHINA: Lockdown

DENMARK: Lockdown

NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka
 
Ikiingia TZ Midanganyika itakula vinyezi
 
Ililockiwa 70's sembuse now
tukilock nchi yetu mtakufa njaa
Huwa mnanifurahisha sana na hizi pumba na porojo zenu. Boda ya Kenya-Tz ilifungwa kwa miaka saba kutoka mwaka wa 1977! Uchumi wa Kenya kwa miaka hiyo saba uliendelea kuimarika kwa kasi huku uchumi wa Tz ukisambaratika na tukawapiga gap ambalo hadi leo hii hamja'recover'. Alafu Kenya kwa sasa, tofauti na miaka hiyo, ndio nchi ya pili kwa uwekezaji Tz. Kampuni za Kenya zina share kwenye uchumi wenu, ajira wanatoa kwa maelfu ya watz. Akili zenu huwa mnazitumia kufanya nini kama hamuelewi kitakachojiri na uchumi wenu utakavopata pigo kubwa iwapo ndoto zenu za kichawi zitatimia? Tena kwenye biashara Tz mna deficit kubwa ya mamilioni ya dola na Kenya kwasababu mnanua bidhaa nyingi zaidi ya bidhaa ambazo Kenya inanua kutoka Tz. Tanzania trade with Kenya turns into deficit
 
 
Karanga za Diamond zipo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Effects of Corona virus on economies where "Mzungu" investors own 70% of Stock Exchange
πŸ‘‡πŸ‘‡
=============
Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble - Citizentv.co.ke
HIo $1.19 Billion loss ni just 5% drop ya stokes zote za NSE




UK ambayo stock exchage yao ni kubwa zaidi ili drop by 10% kwasababu ya corona reaching UK


According to the BBC, the main UK index dropped more than 10 percent in its worst day since 1987.
First case of coronavirus in Kenya halts trading at NSE as panic selling escalates - Capital Business


Kule marekani

Dow Jones ilidrop by 9.99% na S&P 500 ili drop by 9.5% ... Kumbuka huko wanadeal na ma trillions of dollars kwahivyo hio 10% ni sawa na 2 trillion dollars, hio ni GDP ya Africa nzima imepotea huko marekani pekee!
Dow plunges 10% amid coronavirus fears for its worst day since the 1987 market crash



------------------------------------------------------
Global markets have lost $6 trillion in value over the past six days, according to S&P Dow Jones Indices.

Stock markets around the world are plunging into correction territory as investors fear the surging of coronavirus cases outside of China will escalate the deadly virus to a pandemic.




The market sell-off also wiped about $4 trillion from U.S. stocks in the same period, according to the firm’s Senior Index Analyst Howard Silverblatt. The Dow Jones Industrial Average, S&P 500 and Nasdaq are all in correction territory, down at least 10% from their most recent high.
Global stock markets have lost $6 trillion in value in six days
-------------------------------------------------
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…