Tetesi: Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble

Tetesi: Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble

CORONA VIRUS

ITALY: Lockdown

CHINA: Lockdown

DENMARK: Lockdown

NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka
Unaleta utani kwenye mambo ya msingi.
 
Twende katika kutegemea Tanzania ili kuzifikia nchi za kusini mwa Africa, katika hili ndio hamna jinsi ya kuzifikia nchi za Malawi, Zambia, Zimbawe, Botswana, Namibia na Angola bila kupitia Tanzania.

Nadhani sasa unaona ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyoitegemea Tanzania. Ikumbukwe kwamba, Kenya inaitegemea Tanzania kama kiunganishi muhimu na nchi za SADC, Geographically & Diplomatically.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umechange gear, wakati ukwel upo na haya unayoyaongelea yalishatokea tayari...

Kwhyo mkifunga bado tutafanya vile vile tena zaidi ya alivyofanya dikteta moi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kumuelewesha kichwa ngumu kama wewe ni mpaka aahirishe kazi zake za siku ili atumie siku nzima kukuelewesha....Mimi hiyo kazi siwezi... Mwalimu wako darasani alifaa alipwe mara mbili aisee.
Sasa kwn aliyeleta link ya mipango ya kutaka kuuza unga ni nani?
Mbna hasira tena jamani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom