Tetesi: Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble

Mwenzako kanitajia azam na mo...

Kulingana na insha yako mwisho ni kwamba tunanua mahindi kw pesa zetu kutoka kw nchi yyte ile tutakayoridhiana nayo...

Kwhyo mipaka mkifunga tutanunua uganda wala hatuwategemei wakulima bali kazi yenu ni kuomba Mungu serikali yetu inunue mahindi kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wewe ulisema vitu tayari vinauzwa madukani tangu enzi hzo tunawategemea bila nynyi hatutokula...

Haya hivi imekuaje tena unaleta habari ambayo inaonyesha mipango amabayo hata haijakuwa implemented..

Hivi umeangalia habari zetu za hivi majuzi ya kwamba wakulima wanapinga hilo jambo na wako tayari kuwauzia serekali bora waweke reasonable prices...

Mtangoja sana mtuuzie huo unga wenu sijui unajiitaje vile, mtabakia na vi link tu vya vikao wanavyokaa...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kukuonyesha ni jinsi mbavyoitegemea Tanzania kwa chakula, nadhani umeelewa na kuamini, ubishi katika hili umekwisha.

Twende katika kututegemea katika malifhafi za viwandani. Kenya inategemea Pamba ya Tanza kwa zaidi ya 60% kwa ajili ya viwanda vyake. Inategemea karatasi toka Tanzania kwa 75% kwa ajili ya viwanda vyake, viwanda vya Cement vinategemia clinker toka Tanzania, the list is endless......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc:joto la jiwe
Cc:dronecamera

Viwanda vingine hununua mahindi tanzania kw sababu ya bei lkn eti msijigambe hapa eti tunawategemea...never, cz km ni mipaka imeshawai fungwa na uchumi wetu ukapanda maradufu....
Watu walikula kumwaya baada ya hapo huingia kitaa na kuanza kuimba mapambio ya moi km mnavyofanya sai kw magu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kutegemea na kununua kwanza...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipaka ilipofungwa tulivitoa wapi hvo vitu unavyoviongelea[emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kumuelewesha kichwa ngumu kama wewe ni mpaka aahirishe kazi zake za siku ili atumie siku nzima kukuelewesha....Mimi hiyo kazi siwezi... Mwalimu wako darasani alifaa alipwe mara mbili aisee.
 
Mbona sahivi hawali kumwaya? What happened?
 
Mipaka ilipofungwa tulivitoa wapi hvo vitu unavyoviongelea[emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Twende katika kutegemea Tanzania ili kuzifikia nchi za kusini mwa Africa, katika hili ndio hamna jinsi ya kuzifikia nchi za Malawi, Zambia, Zimbawe, Botswana, Namibia na Angola bila kupitia Tanzania.

Nadhani sasa unaona ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyoitegemea Tanzania. Ikumbukwe kwamba, Kenya inaitegemea Tanzania kama kiunganishi muhimu na nchi za SADC, Geographically & Diplomatically.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subira tufunge mipaka ndio utajua kuwa kipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka majina heheheh

Sisi tunaleta lumbesa kg100 nyie huko mnafungiwa kwenye vipakiti kwa majina yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…