Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Usichokijua ni kwamba hizi nchi ambazo zina umasikini wa akili takwimu ambazo huwa wanatoa ni geresha tu!All in all hadi sasa tz wagonjwa 6...
Tukubali tukatae huu ugonjwa kwa africa its not a big deal sema umekuja kutafuta kick tu za bure.
Ingelikuwa kwel huu ugonjwa unasambaa kwa kasi africa nadhan robo ya watu sasa hivi wangekuwa washapoteza maisha maana si mchezo kabisa unavyoua...
Ila inaweza kuzuwia isienee kwa kasi na kuuwa watu wengi au sivyo?Pambana na khali yako,serikali haijaleta corona na wala haipendelei kuona watu wake wakifa au kuugua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo serious kweli?! Unafahamu kuwa kwenye hizi nchi ambazo ni masikini wa akili huwezi kupata takwimu sahihi?Kwanza takwimu zitafichwa ili watalii waendelee kumiminika! Kama unasubiria kupewa takwimu za vifo kwa kifupi ni kwamba huna akili kabisa!!Sisi bado tunafanya mzaha, kisa hakuna aliekufa mpaka sasa!
Wote wale 27 wapo salama kwa mujibu wa vipimoKwahiyo wale watu wote aliyokutana nao yule mgonjwa wa kwanza wa corona hapa Tz hawajapata maambukizi?
Mkuu tuanze na maeneo ya starehe, nyumba za ibada, sherehe za harusi n.k.Wewe sababu una kaajira ndo Mana unashadadia lock down,ss ambao hatuli mpaka tutoke hujatufkiria kwenye hio lock down yako,Sasa ukifunga mtaa ni Yale Yale tu kama hatutakufa kwa Corona njaa vp itatuacha, think more jombaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo usipopima hufi?Tatizo hatuna maabara tosha za kupima, huko ambako unaona number ipo ubwa wanapima kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka Afe Mkuu Wa Nchi? Ama Waziri Mkuu Ndo Wastuke?
Dah...na hili ni jambo la hatari sana...nawaza vile kipindupindu kinavyotusumbuaga na kinatibikaSisi bado tunafanya mzaha, kisa hakuna aliekufa mpaka sasa!
Dah..bosi..hofu ndiyo akili yenyewe...wenye akili hutegemea mema na kujiandaa na mabaya...Umejaa hofu sana mkuu.
Mkuu upo serious kweli?! Unafahamu kuwa kwenye hizi nchi ambazo ni masikini wa akili huwezi kupata takwimu sahihi?Kama unasubiria kupewa takwimu za vifo kwa kifupi ni kwamba huna akili kabisa!!
Kanisani muhimu mkuu,kwenda kuomba mnyazi mungu atuondolee hili balaa.Leo nilikuwa nachat na rafiki yangu yupo Uganda akashangaa sana kusikia nimeenda kanisani, akaniambia wao mikusanyiko ya wau imezuiliwa kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app