Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
- Thread starter
- #61
Singapore wana wastani wa joto la 27°C lakini kuna kesi za wagonjwa ambao hawana uhusiano na kuutoa nje ya nchi.90% ya hao wagonjwa ni imported cases. Yaani wameingia Bongo wakati mzee Corona tayari keshazama ndani. All in all, joto sio sababu kwa kuwa South Africa sasa local transmission zimeshaanza maana kuna wagonjwa kibao ambao hawajasafiri kutoka nje ya Nchi.
Link ya taarifa rasmi ya serikali ya Singaore hii hapa Coronavirus disease 2019: Cases in Singapore
Wazungu wanasema seing is believing.