Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Hakimu Mfawidhi,
Tofautisha kati ya vita unayopigana na adui ukimuona na vita ambayo adui haumioni(corona) adui asiyeonekana vita yake ni katika ulimwengu wa roho lakini vita ya mambo ya uchumi na ma strigler ni katika vita inayoonekana hivyo huna haja ya kuomba bali kupigana ili ufanikishe maana ni mambo yanayohitaji fedha na sio maombi
 
Duu! Kwa agizo hili la sala, tusitarajie kupata updates za wagonjwa au vifo vitokanavyo na covid 19.

Hata kama takwimu zitaongezeka hazitatangazwa kwa kuhofia agizo la sala la mh. Rais.

Nb: Mwalimu Nyerere pia alikuwa mkatoliki. Wakati wa vita vya Idd Amin sikumbuki kama, katika hotuba zake, aliwahi kuwahimiza wananchi kusali ili watanzania waweze kushinda vita ile!
Muda wote aliongea kama jemedari mkuu na sio kama kasisi au sheikh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan Mungu aache kuwasaidia na kuwaepushia hili janga watu wenye akili dunia ya kwanza uko aje atuepushie sisi SHIT HOLE countries seriously..???

Hatuna mchango wowote katika dunia hii zaidi ya kua mizigo tu, tunapenda vitonga kweliii, watu wanaumiza vichwa uko kutafuta chanjo sisi tunabwabwaja tu na wasomi wetu uchwara. Watu weusi sisi kweli tulilaaniwa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Clinically insane[emoji848]
 
Busara ya mwanadamu ni Upumbavu kwa Mungu, (1 Corinthians 3 :19)

Hao unaowaona ni werevu kwa Mungu ni bure tu, na ndio maana mambo mengi mabaya huanzia kwao.

Well said mkuu..ni wachache sana wenye akili wanaweza kukuelewa ila mbuzi wengi hawataweza kukuelewa.
 
Hakuna anayekataa ibada ila MUNGU ametupa akili kama binadamu kujilinda,ila kuruhusu mabasi ya mikoani kuendelea kutoka dsm (kitovu cha ugonjwa),itapelekea kusambaza zaidi ugonjwa na hapo MUNGU atatushangaa kutotumia akili alizotupa

Inamaana wewe Mungu unamtafuta wakati wa raha tu..! Na shida ikija unatumia akili zako si kumuomba Mungu tena? Huyo atakuwa Mungu wa wajinga iwapo utakuwa unamuabudu kwenye raha tu na kwenye shida unatumia akili zako.

Tahadhari kama nchi tunachukua lakini kipaumbele chetu ni Mungu kwanza kabla ya hizo lockdown na ujinga wa kufungiana ndani.
 
Navojua magonjwa ya Giza ndo huwa yanafanyiwa Maombi, lakini haya ambayo tayari yanajulikana namna ya kuyaepuka kama Lockdown... Hapa tunamtafuta Mungu lawama tu.... Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....

Kuangamia kwa kukosa maarifa ni pamoja na kumtegemea binadamu mwenzio ambaye na yeye anakufa kwa maelfu kila siku na kumuacha Mungu wa kweli awezaye kukuponya kwa lolote lile.

Maana hata maandiko yanasema “Ombeni lolote lile kwa Jina langu nanyi mtapokea” lolote ikiwemo na hiyo corona.

# I stand with my president that God is the only solution to covid-19.
 
Covid-19 teach us that, we need hospitals than Churches, and also need Doctors than fake pastors [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] but my presidents needs pastors amazing

Sent using Jamii Forums mobile app

You need God than anything else my friend..keep that in mind: churches and hospitals are nothing when it comes to God’s help
 
Back
Top Bottom