Yaan Mungu aache kuwasaidia na kuwaepushia hili janga watu wenye akili dunia ya kwanza uko aje atuepushie sisi SHIT HOLE countries seriously..???
Hatuna mchango wowote katika dunia hii zaidi ya kua mizigo tu, tunapenda vitonga kweliii, watu wanaumiza vichwa uko kutafuta chanjo sisi tunabwabwaja tu na wasomi wetu uchwara. Watu weusi sisi kweli tulilaaniwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sanamu ya Maria inazuia Corona?Waulize Italy kilichotokea, pamoja na sanamu ya bikira Maria kuzungushwa mipaka ya Italy walikiona cha moto. JPM hii ni sayansi huo sio mkakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Busara ya mwanadamu ni Upumbavu kwa Mungu, (1 Corinthians 3 :19)
Hao unaowaona ni werevu kwa Mungu ni bure tu, na ndio maana mambo mengi mabaya huanzia kwao.
Hi ni dalili ya kukata tamaa
Hakuna anayekataa ibada ila MUNGU ametupa akili kama binadamu kujilinda,ila kuruhusu mabasi ya mikoani kuendelea kutoka dsm (kitovu cha ugonjwa),itapelekea kusambaza zaidi ugonjwa na hapo MUNGU atatushangaa kutotumia akili alizotupa
Navojua magonjwa ya Giza ndo huwa yanafanyiwa Maombi, lakini haya ambayo tayari yanajulikana namna ya kuyaepuka kama Lockdown... Hapa tunamtafuta Mungu lawama tu.... Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
Covid-19 teach us that, we need hospitals than Churches, and also need Doctors than fake pastors [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] but my presidents needs pastors amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jina la Baba,la mwana na la Roho mtakatifu. Amina.
Kilio chetu kifike mbinguni, asikie na kujibu maombi yetu.Ee MUNGU usikie kuomba kwetu