Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
AmenUmechagua fungu jema.
Nilitaka kukusabahi..siku nyingi hatujaonana hapa
MUNGU akutunze[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenUmechagua fungu jema.
Amen
Nilitaka kukusabahi..siku nyingi hatujaonana hapa
MUNGU akutunze[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa umesikika!!Kwa hiyo huamini katika maombi?
Magonjwa mengi yanaondoshwa kwa maombi
Kwa sisi tz tungeanza kwanza na Toba maana Ni Kama tulizembea kuchukua tahadhari mapema
Mungu anaweza jibu moja kwa moja au kwa kupitia kwa wataalam wetu wa afya.
Hayo Mambo unayosema tax reduction si suluhisho la ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawaAmen! Nipo ratiba tu hazifanani siku zote.
Nilijua utaanza na serikali yakoHivyo ulivyotaja ndiyo dawa ya CORONA. Be serious
Ooh sawa
Uwe na usiku mwema
Maombi ya mwenye haki yafaa Sana akiomba kwa bidii.
Sent using Jamii Forums mobile app