Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ila sasa makele ya hapo nyumbani unaweza tamani ardhi ikifunike. Kama mimi hapa najiandaa kisaikolojia
Ahahaha,kumbe tupo wengi enhee
Kuna watu hawajui total lockdown ikoje. EU wanaandaa pesa kulipa watu watakaokuwa nyumbani bila kazi, Tz itaweza? Kuna watu kula mpaka tutoke nje ukahangaike on daily basis, kukaa nyumbani maana yake ni kukosa hela ya kula.Ila siasa bana...hata nchi nzima kukiwa na total lockdown, bado kuna watu wataoilaumu serikali tu.
Wapo wataosema hakuna haja hiyo na wapo wataosema hiyo haitoshi!
Hapo wazazi tuliokuwa tunadaiwa ada tu nasema afadhali tupumue Kaz kwa wamiliki washule walivyokuwa wanasubir tumalizie ada kabla ya mid term.
Kaz imebaki kwenye nyumba za kupanga Sasa naomba serikali itoe tamko hakuna kutoka wala kusafiri ili tupate sababu ya kuendelea kuishi mpaka tutakapopata pesa zao
Tutatembea tu shy to iringa maana amna namna....
Kuna watu hawajui total lockdown ikoje. EU wanaandaa pesa kulipa watu watakaokuwa nyumbani bila kazi, Tz itaweza? Kuna watu kula mpaka tutoke nje ukahangaike on daily basis, kukaa nyumbani maana yake ni kukosa hela ya kula.
hata elimu ya juu inafaa kufungwa, kama inawezekana kuwe na online tutorials..Mungu tuepushe na hili balaa
Nadhani wamefikiri laabda uwezekano wa Wanafunzi wa Elimu ya juu kujikinga na huu Ugonjwa ni Mkubwa kuliko hawa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app