Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wee sky eclat! Sasa unatakaje? Mahabusu na wafungwa wafunguliwe waende majumbani kwao? Mi nakwambia wafungwa na mahabusi woote nchini wakifunguliwa madhara yake ni makubwa kuliko corona!Ma warden wao na wametengwa na dunia?
Cha muhimu hapa ni kuhimiza askari magereza wanapata muongozo wa kujikinga na corona pia wafungwa wapya wasichanganyike na wa zamani.Wee sky eclat! Sasa unatakaje? Mahabusu na wafungwa wafunguliwe waende majumbani kwao? Mi nakwambia wafungwa na mahabusi woote nchini wakifunguliwa madhara yake ni makubwa kuliko corona!
Ustaarabu wa namna hiyo ni nyumbani kwako! Hivi unajua magereza au unaambiwa? Nafasi ya kulala kuweka ubavu wako unaugombania! Alafu unasema nafasi ya kuwatenga wapya na wazamani?Cha muhimu hapa ni kuhimiza askari magereza wanapata muongozo wa kujikinga na corona pia wafungwa wapya wasichanganyike na wa zamani.
Maji na sabuni vipatikane ki rahisi
Ni kinyume cha haki za binadamu hiyo hali unayoisema.Ustaarabu wa namna hiyo ni nyumbani kwako! Hivi unajua magereza au unaambiwa? Nafasi ya kulala kuweka ubavu wako unaugombania! Alafu unasema nafasi ya kuwatenga wapya na wazamani?
Nshakublock kitambo sana
HakunaI agree with u completely.Mihemko sana hii nchi. Hivi kuna Mwafrica yyte ameshafariki kwa Corona?
Nafurahi sana kuona unaniwaza kiivyo.Nshakublock kitambo sana
Nashngaa kwa nn jf wananiletea notifications zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha! 🤣🤣 hilo nalo neno!...Unafunga shule huku mipaka umeacha wazi.
Hatar hyo mzeeYaani, shule za private cha moto watakiona, Tena sio wiki moja ni mwezi kabisa,
WENYE nyumba nao cha moto watakiona, mwisho wa mwezi ukifika hakuna kuulizana, unamwambia tuh Huoni korona?
Inakuwa imeisha hiyo [emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app