Mlipuko wa nini? Mimba? Likizo ya mwezi wa 6, 12 vipi?Nahofia wakirudi kutakuwa na mlipuko mkubwa sana
Jr[emoji769]
Mkuu vitu vingine sio mpaka Rais aseme. Watoto wako wamerudi nyumbani halafu wewe unawa-expose then unalaumu?!Kama Rais ilibidi akataze mikusanyiko. Na sasa ana iencourage kuwa dawa halisi ya corona iko kanisani na corona itaungua kwa jina la yesu
Sent using Jamii Forums mobile app
So kenyata , Trump na Marais wengine wanaongoza ibada za kitaifa ni wajinga .
Siyo lazima uwongee imani ni mtu binafsi si lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
To me I have no problem, kuna wanaoona tamko la Rais ni final na ndiyo dira.Mkuu vitu vingine sio mpaka Rais aseme. Watoto wako wamerudi nyumbani halafu wewe unawa-expose then unalaumu?!
Angesema hamna kwenda kanisani au misikitini sisi hao hao tungesema anaingilia Uhuru wetu wa kuabudu na vitu kama hivyo. Tuanze wenyewe kujihami kabla serikali haijapiga marufuku, hamna mtu mwenye akili timamu asiejua nini kinaendelea dunia hii.
Kama una hofu na kwenda Kanisa ni au msikitini kiherehere cha kwenda huko umekitoa wapi? Acha kwenda wewe na familia yako. Full stop!
Kuna watu wamejaa chuki sasa wanajitahidi kutafuta kil sababu.
Si ajabu ht mipaka ikifungwa kuna watu watalalamika pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku Fanya maamuzi mwenyewe. Kwani Rais Trump alipozungumza kuhusu Chroloquine umeona Wamarekani wamepanga foleni Pharmacy?
Akili Nyingine ovyooo kabisa,Mtoto wako mwenyewe katika hatari hii ya ugonjwa Wa Corona unashindwa kumzuia kutoka nyumbani halafu unakuja kulalamika mtandaoni?Rubbish kabisa.Nasema hivyo maana kama in kuzuia mikusanyiko, mbona watoto hao hao sasa wanakutana makanisani na.misikitini? It is rubbish kufunga shule ukaruhusu wanafunzi hao hao wakutane makanisani na unabariki kuwa yesu ataunguza corona.
Wa kumlaumu ni Kikwete, haya yasingelitupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni ujinga tu. Haijalishi umefanywa na yeyote ( Kenyatta, Trump, mkulima, au ombaomba).So kenyata , Trump na Marais wengine wanaongoza ibada za kitaifa ni wajinga .
Siyo lazima uwongee imani ni mtu binafsi si lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mzazi ni jukumu lako kuangalia familia yako usingoje Rais akuambie nini cha kufanya.To me I have no problem, kuna wanaoona tamko la Rais ni final na ndiyo dira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mzazi ni jukumu lako kuangalia familia yako usingoje Rais akuambie nini cha kufanya.To me I have no problem, kuna wanaoona tamko la Rais ni final na ndiyo dira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waamerika unawalinganisha na watanzania? Wamarekani wanakanyaga mafuta? Sisi tunahitaji maelekezo sahihi kwani 98% ni illiterateMwisho wa siku Fanya maamuzi mwenyewe. Kwani Rais Trump alipozungumza kuhusu Chroloquine umeona Wamarekani wamepanga foleni Pharmacy?
Hahaha, huyu jamaa huo mstari aliomalizia nao....😀😀
Akili Nyingine ovyooo kabisa,Mtoto wako mwenyewe katika hatari hii ya ugonjwa Wa Corona unashindwa kumzuia kutoka nyumbani halafu unakuja kulalamika mtandaoni?Rubbish kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mzazi ni jukumu lako kuangalia familia yako usingoje Rais akuambie nini cha kufanya.
Kuna vitu unatakiwa ufikirie kama MTU mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app