CoronaVirus-Tanzania: Watu wote wanaoenda katika Mahakama za Tanzania watakiwa kuvaa Barakoa

CoronaVirus-Tanzania: Watu wote wanaoenda katika Mahakama za Tanzania watakiwa kuvaa Barakoa

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania umesema Wadau wote wa Mahakama pamoja na Wananchi kwa ujumla watakaofika Mahakamani kuanzia Jumatatu Aprili 20, 2020 watatakiwa kuvaa Barokoa

Hatu hii ni moja ya mikakati iliyowekwa na Mahakama katik kuzuia kuenea kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa wateja wake ili kuhakikisha wanakuwa salama

Aidha, Wadau na Wananchi wote wanaofika Mahakamani wanatakiwa kuhakikisha wananawa mikono kwa maji tiririka na au kutumia vitakasa mikono wanapoingia na kutoka maeneo ya Mahakama

C8118DE8-FC91-4CCE-9099-4D6F84979437.jpeg
 
Back
Top Bottom