Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Una moyo sana.Leo wametuma yangu.
Ila nimechat na customer care wao wanasema wataship mara 1 kwa wiki
Leo wametuma yangu.
Ila nimechat na customer care wao wanasema wataship mara 1 kwa wiki
Hata vingecost dola laki moja, shit it out umewauliza hao wa uko wakakuambiaje,unajua hali ya tahadhari iliyopo uko china uwazi watu wanaokufa uko unawaza uo mzigo wako,hata kama hawakuhusu roho haifananishwi na garama ya kitu chochote umaskini huu bana,Mkuu Ni Vimizigo Lakini Unajua VinaniCost Tsh Ngapi...
"...cha mtu m*vi..."
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata viki cost Ma millioni haviwezi kulinganishwa na utu wa watu...We unafkr utaitumia wapi ikija na Virus?Mkuu Ni Vimizigo Lakini Unajua VinaniCost Tsh Ngapi...
"...cha mtu m*vi..."
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi niwe na wivu na mizigo ya watu ili iwaje yani? Watu ma kontena yetu yamezuiwa na tumeelewa nyie ni kina nani msijue kila jambo na wakati wake? Hii ni hali ya hatari sana labda kwakuwa mpo Hapo mlipo na hamfatilii vizur taarfa juu ya kirusi korona? Wakati sisi tunaomba Mungu atuepushe nyie mnaleta mzaa tu? Kwa nchi zetu hizi masikini Watapona watu wachache tu...Na kwa taarfa yenu hiyo mizigo haitafika leo wala kesho sana mfanye kuomba refund tu....HTuwezi kuingiz Ugonjw kwa akili za wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha wivu wakike bwana ufe kwa korona kivp hv umeelewa alichokiuliza ama wivu wakimama umekujaa.....hajakwambia ameagiza mxigo wenye corona kakwambia kaagza mzgo wa viatu na unazungushwa tu nyau wewe[emoji52]
Hubei iko wapi kwenye huo mlolongo? Vikifika vaa gloves na vitie kwenye mfuko , vua na utupe gloves sehemu salama. Ukifika nyumbani bae gloves nyingine vitoe vimwagie au vipanguse kwa disinfectant, choma moto vifungashio na gloves, nawa mikono,Wakuu Naomba Tujadiliane Hapa, Najua Wengi Wetu Tu Tumefanya Uagizwaji Wa Logistics Mbalimbali Kutoka China.
Mfano Mimi Nimenunua Vitu Kama Vitatu China Kabla Ya Kuzuka Kwa Ugonjwa Wa CoronaVirus Lakini Sasa Kila Niki-Truck Hizi Percels Naona Zilitoka Kwa Beijing Zikaenda Sijui Hubei Mara Sijui Guanzhou (naeza kukosea spelling hapa) Lakini My Point Ni Kwamba Zinazunguka Pale Pale.
Sasa Sijui Nifanyeje, Nisubiri Tu Niwe Mpole Au?
View attachment 1349855
View attachment 1349864
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo hujamuelewa muliza swali kwamba kwann mizgo yake inaonekana kuzungushwa tu huko china wewe unatoa majibu ya choon eti makontena uetuLabda makontena ya ubwabwa kwa mama ntilieπMkuu mimi niwe na wivu na mizigo ya watu ili iwaje yani? Watu ma kontena yetu yamezuiwa na tumeelewa nyie ni kina nani msijue kila jambo na wakati wake? Hii ni hali ya hatari sana labda kwakuwa mpo Hapo mlipo na hamfatilii vizur taarfa juu ya kirusi korona? Wakati sisi tunaomba Mungu atuepushe nyie mnaleta mzaa tu? Kwa nchi zetu hizi masikini Watapona watu wachache tu...Na kwa taarfa yenu hiyo mizigo haitafika leo wala kesho sana mfanye kuomba refund tu....HTuwezi kuingiz Ugonjw kwa akili za wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli hata sikushauri kuipokea hyo mizigo hata kama ikija. Corona inaweza kuwa ebola namba 2.
Tuonee huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Amerudisha pesa sasa? Bado nimextend time
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kausha tu mkuu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine! Ni sawa na mfano unajenga ghorofa halafu ghafla likatokea tetemeko la aridhi la richter scale ya 14!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuu....14[emoji1550]β[emoji3603][emoji1550]β[emoji3603][emoji1550]β[emoji3603]
Sent from my iPhone using JamiiForums