CoronaVirus: Tulioagizia mizigo yetu China tufanyeje?

CoronaVirus: Tulioagizia mizigo yetu China tufanyeje?

Leo wametuma yangu.
Ila nimechat na customer care wao wanasema wataship mara 1 kwa wiki
Una moyo sana.

Kama makonda.

Yani na corona lote lilivyojaa china ila wewe huogopu? Lazima utajirike bob
 
Mkuu Tatizo Sio Kutuma, Tatizo Utaruhusiwa Na Watu Wao Wa International Exchange? Mimi Si Unaona Wangu Pale Sijui Security Wameurudisha Kwa Nini... Asee Kesho Nita Claim To Be Refunded Tu

Leo wametuma yangu.
Ila nimechat na customer care wao wanasema wataship mara 1 kwa wiki

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Ni Vimizigo Lakini Unajua VinaniCost Tsh Ngapi...

"...cha mtu m*vi..."

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata vingecost dola laki moja, shit it out umewauliza hao wa uko wakakuambiaje,unajua hali ya tahadhari iliyopo uko china uwazi watu wanaokufa uko unawaza uo mzigo wako,hata kama hawakuhusu roho haifananishwi na garama ya kitu chochote umaskini huu bana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wivu wakike bwana ufe kwa korona kivp hv umeelewa alichokiuliza ama wivu wakimama umekujaa.....hajakwambia ameagiza mxigo wenye corona kakwambia kaagza mzgo wa viatu na unazungushwa tu nyau wewe[emoji52]
Mkuu mimi niwe na wivu na mizigo ya watu ili iwaje yani? Watu ma kontena yetu yamezuiwa na tumeelewa nyie ni kina nani msijue kila jambo na wakati wake? Hii ni hali ya hatari sana labda kwakuwa mpo Hapo mlipo na hamfatilii vizur taarfa juu ya kirusi korona? Wakati sisi tunaomba Mungu atuepushe nyie mnaleta mzaa tu? Kwa nchi zetu hizi masikini Watapona watu wachache tu...Na kwa taarfa yenu hiyo mizigo haitafika leo wala kesho sana mfanye kuomba refund tu....HTuwezi kuingiz Ugonjw kwa akili za wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Naomba Tujadiliane Hapa, Najua Wengi Wetu Tu Tumefanya Uagizwaji Wa Logistics Mbalimbali Kutoka China.

Mfano Mimi Nimenunua Vitu Kama Vitatu China Kabla Ya Kuzuka Kwa Ugonjwa Wa CoronaVirus Lakini Sasa Kila Niki-Truck Hizi Percels Naona Zilitoka Kwa Beijing Zikaenda Sijui Hubei Mara Sijui Guanzhou (naeza kukosea spelling hapa) Lakini My Point Ni Kwamba Zinazunguka Pale Pale.

Sasa Sijui Nifanyeje, Nisubiri Tu Niwe Mpole Au?

View attachment 1349855
View attachment 1349864

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hubei iko wapi kwenye huo mlolongo? Vikifika vaa gloves na vitie kwenye mfuko , vua na utupe gloves sehemu salama. Ukifika nyumbani bae gloves nyingine vitoe vimwagie au vipanguse kwa disinfectant, choma moto vifungashio na gloves, nawa mikono,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi niwe na wivu na mizigo ya watu ili iwaje yani? Watu ma kontena yetu yamezuiwa na tumeelewa nyie ni kina nani msijue kila jambo na wakati wake? Hii ni hali ya hatari sana labda kwakuwa mpo Hapo mlipo na hamfatilii vizur taarfa juu ya kirusi korona? Wakati sisi tunaomba Mungu atuepushe nyie mnaleta mzaa tu? Kwa nchi zetu hizi masikini Watapona watu wachache tu...Na kwa taarfa yenu hiyo mizigo haitafika leo wala kesho sana mfanye kuomba refund tu....HTuwezi kuingiz Ugonjw kwa akili za wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hujamuelewa muliza swali kwamba kwann mizgo yake inaonekana kuzungushwa tu huko china wewe unatoa majibu ya choon eti makontena uetuLabda makontena ya ubwabwa kwa mama ntilie😂
 
Naona unataka kutuletea virus vya corona.

Embu kausha basi mkuu, unataka tuje kupukutika kama kuku wa mdondo?😀😀
 
Mkuu hiyo ni china post bila shaka.

Nakushauri dai refund, hapo mzigo utakuwa unazunguka beijing tu mpaka basi.

Nilinunua modem ya 4G mwezi 11 tar 30 2019 mpaka leo mzigp updates zilikuwa ni hivyohivyo tu nikaopen dispute.

Siku nyingine usitumie china post bali tumia aliexpress standard shipping.
 
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wana ticketi mkononi...bidhaa hawana....na china ndio hakuendeki....kufa kufaana! ....wenye bidhaa watatajirika....na muda si mrefu kutakuwa na uhaba wa bidhaa...maana soko la Dunia ni china.
 
Kausha tu mkuu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine! Ni sawa na mfano unajenga ghorofa halafu ghafla likatokea tetemeko la aridhi la richter scale ya 14!

Duuuu....14[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom