Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mungu wabariki WazunguList nyekundu....that means hali ni mbaya sana
Kwa vile wewe ni Mrundi!Tanzania Kwisha kazi !
Rwanda wameanza kutoa chanjo kwa rai wao kama huna taarifa.wewe mleta maada ndio unaona leo? hata Rwanda imo siku nyingi mbona
Ni aibu sana!Tanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Mnaitia aibu duniaShangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Anasema Bw. Ntibayonkiza NdabonaTanzania Kwisha kazi !
Kwakuwa tulikubali kuwa waimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa kila Jambo na hata yale ya uongo imefika muda wakulipia gharama hivyo tuwe wapole kama tunanyolewa. Ni matunda ya mikono yetu.Mwana wa kulitafuta mwana wa kulugeti. Inaelekea hakuna mtanzania atakanyaga ulaya na marekani