Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Mtazamo wangu..

Tz itaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na jumuia za kimataifa.

Viongozi wa kisiasa watatuletea shida sana raia wa Tz duniani kote.

Hata wao viongozi watapata shida sana katika tawala zao. Watabaki kuishi km mateka tena ndani ya nchi yao.

Hatupaswi kuwa kikwazo dhidi ya juhudi ya jumuia ya kimataifa katika kupambana na corona. Tukionekana sasa sisi ndiyo chanzo cha maambukizi yanayodhibitiwa huko duniani..tutarajie hukumu kali juu yetu.

Tusijidanganye kuwa tunajimudu,labda hao wa jumba jeupe. Lkn wengine tutalia na kulimia meno.
 
Tanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
awamu hii tumewazidi akili wadhungu,walipanga kutuhujumu,sasa ss tumewahuju pakubwa ndio maana Wana[emoji51][emoji51][emoji51].hawaamini wazungu kuzidiwa kete
 
Jamaa hawakawii kusema mbona majuzi kati alikuwa mitaa ya chato afu hakuvaa barakoa - katugeuka eee huyu Balozi.
 
Back
Top Bottom