Aibu kwenu ambao hamtaki kuona maendeleoMnaitia aibu dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kwenu ambao hamtaki kuona maendeleoMnaitia aibu dunia
Hii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."
=====
View attachment 1703060
"
Huyu mungu wa magu ni kigeugeu.Ubalozi wapewe ushuhuda wa matendo ya Bwana, tumeuona mkono wake.
Hahhahaha... Wajinga wanafikiri kuna lolote mtapataTanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kwani wao Uingereza sio Red list country , hivyo wanaona wasiwe wenyeweHii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."
=====
View attachment 1703060
"
Hizi Jabari naona unazipenda SanaHii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."
=====
View attachment 1703060
"
TrueList nyekundu....that means hali ni mbaya sana
😂😂😂😂Huyu mungu wa magu ni kigeugeu.
Umetisha!Tanzania iko salama kuliko Ulaya! Waache kutufatafata
Watuache na mambo yetu!
Narudia tena kusema watuache na mambo yetu!
Kwanini wanataka tuchukue hatua waliochukua wao ilihali hawataki kuchukua hatua tulizochukua sisi?
Je, tumewalazimisha wafuate njia zetu?
Kwanini wao wanataka tufuate hatua zao ambazo mpaka sasa hazijasaidia chochote zaidi ya kuwakera wananchi wao?
Acheni kusikiliza serikali za mabeberu badala yake mjikite kusikiliza serikali yenu.
Acheni utumwa
No way out haijalishi wako vibaya au vipi, tujiangalie sie,kwanzaUingereza ina hali mbaya sana mpaka nchi nyingine za ulaya kama ujerumani zimezuia mpaka timu zao kuingia badala ya kushugurika na nchi nyingine angeanza na ya kwake ingawa ukweli upo wazi na sisi hali ni mbaya